Rage unatuongopea mzee wangu!

Makonyeza

Member
Feb 2, 2020
67
248
Nilikuona ukiwa katika hali ya utulivu kabisa ukitamka Kuwashauri Azam eti kwanza watafute goli kipa badala ya kuhangaika na FEY!
Yaani Kwa mawazo yako ni kwamba kufungwa kwa Azam ilikuwa ni kwa sababu ya Ubovu wa goal keeper, ULIWAKOSEA Azam na unapaswa kuwaomba radhi mzee wetu.

Kwanza Azam hawajakosea kumuhitaji Feisal, hivyo ndivyo timu zenye malengo makubwa hufanya, kuhitaji huduma za wachezaji wakubwa wenye uwezo. Huwezi kuwa timu kubwa yenye mafanikio kama hutamani kuwa na wachezaji wakubwa kama akina FEY.

Lakini nirudi kwenye Mada yangu, hivi kweli Rage ninayemjua Mimi anaamini kipa ndio sababu ya Azam kufungwa na Yanga??

Mbona Rage umekuwa msahaulifu mapema kiasi hicho?

Kwani Azam huyu HAKUMFUNGA simba mechi ya Mkondo wa awali tena kipa akiwa ni HUYU HUYU Ahamada?

Na kwanini Rage uitumie Yanga kama kipimo cha ubora wa goal keeper wa Azam, tena katika mechi ya 18 tu ya ligi?!

Mzee wangu umeamua kujizima data!?, mbona ni mwaka wa nne huu Sasa mfululizo Manula anatunguliwa tu na hao Yanga haujawahi KUWA SHAURI simba kutafuta kipa mwingine!??
Huyu wa Azam haujawahi kuuona Ubovu wake isipokuwa kwenye mechi za Yanga tu,

Ukorrrrofi huo Rage!

Kwa ufupi hapa tatizo kwa Azam wala sio Walinda milango, si Ahamada wala Manula kwa Simba, tatizo la msingi ni Yanga kama timu ambayo ina funga yeyote aliyepo mbele yake isipokuwa kwa bahati mbaya kama juzi ilivyokuwa kule Highland Estate.
Keeper WA Azam wala hana hizo shida mnazolazimisha, Itoshe kuwa muungwana wataje Yanga kama tatizo la MSINGI kwa Azam ambayo bado ingali ikijitafuta.

Tatizo ni YANGA mzee wangu wala sio Kipa WA azam
_20221227_211328.JPG
 
Nilikuona ukiwa katika hali ya utulivu kabisa ukitamka Kuwashauri Azam eti kwanza watafute goli kipa badala ya kuhangaika na FEY!
Yaani Kwa mawazo yako ni kwamba kufungwa kwa Azam ilikuwa ni kwa sababu ya Ubovu wa goal keeper, ULIWAKOSEA Azam
Ila ukweli Golikipa wa Azam ana uzito usiofaa kwa Golikipa ndio maana anashindwa kuruka ipasavyo anapopigiwa shuti. Huwezi kumlinganisha na Diarra wa Yanga na Manula wa Simba. Ingawa vigezo vingine yupo vizuri. Hivyo Mzee wangu Rage hakukosea.
 
Nilikuona ukiwa katika hali ya utulivu kabisa ukitamka Kuwashauri Azam eti kwanza watafute goli kipa badala ya kuhangaika na FEY!
Yaani Kwa mawazo yako ni kwamba kufungwa kwa Azam ilikuwa ni kwa sababu ya Ubovu wa goal keeper, ULIWAKOSEA Azam na unapaswa kuwaomba radhi mzee wetu.

Kwanza Azam hawajakosea kumuhitaji Feisal, hivyo ndivyo timu zenye malengo makubwa hufanya, kuhitaji huduma za wachezaji wakubwa wenye uwezo. Huwezi kuwa timu kubwa yenye mafanikio kama hutamani kuwa na wachezaji wakubwa kama akina FEY.

Lakini nirudi kwenye Mada yangu, hivi kweli Rage ninayemjua Mimi anaamini kipa ndio sababu ya Azam kufungwa na Yanga??

Mbona Rage umekuwa msahaulifu mapema kiasi hicho?

Kwani Azam huyu HAKUMFUNGA simba mechi ya Mkondo wa awali tena kipa akiwa ni HUYU HUYU Ahamada?

Na kwanini Rage uitumie Yanga kama kipimo cha ubora wa goal keeper wa Azam, tena katika mechi ya 18 tu ya ligi?!

Mzee wangu umeamua kujizima data!?, mbona ni mwaka wa nne huu Sasa mfululizo Manula anatunguliwa tu na hao Yanga haujawahi KUWA SHAURI simba kutafuta kipa mwingine!??
Huyu wa Azam haujawahi kuuona Ubovu wake isipokuwa kwenye mechi za Yanga tu,

Ukorrrrofi huo Rage!

Kwa ufupi hapa tatizo kwa Azam wala sio Walinda milango, si Ahamada wala Manula kwa Simba, tatizo la msingi ni Yanga kama timu ambayo ina funga yeyote aliyepo mbele yake isipokuwa kwa bahati mbaya kama juzi ilivyokuwa kule Highland Estate.
Keeper WA Azam wala hana hizo shida mnazolazimisha, Itoshe kuwa muungwana wataje Yanga kama tatizo la MSINGI kwa Azam ambayo bado ingali ikijitafuta.

Tatizo ni YANGA mzee wangu wala sio Kipa WA azamView attachment 2460516
Umeandika madudu hasa. Goalkeeper wa Azam kwenye mechi 4 ameruhusu magoli 9 ambayo ni idadi sawa na magoli yote aliyofungwa Manula kwenye mechi 17 za ligi msimu huu.
Goalkeeper wa Azam hauhitaji kuwa mtaalamu kuona ni overweight na anafungwa magoli kwa kushindwa kuruka akamaliza goli.
 
Hujaandika facts, weka stats za kipa wa Azam, linganisha na stats za making wengine wa level yake kama wa simba na yanga, then hapo ndio unaweza kutoa conclusion kwamba huyo mzee wa zamani amekurupuka.
 
Tangu ameondoka Aishi Manura Azamu IMEKUWA na TATIZO KUBWA sana Langoni Mwao.

Golikipa ndio mlinzi Namba Moja wa wa timu Yoyote, ukiwa na PAZIA Golini hata uwe na SAFU Kali ya ushambuliaji usitegemee UBINGWA.

Kumbuka kauli ya Ferguson kuwa Timu yenye SAFU Bora Ya ulinzi unashindwa Mataji, SAFU Bora ya ushambuliaji inashinda MECHI.

Mzee rage ameingia kwenye mpira miaka mingi mno iliyopita . Ana uhuru wa kutoa Maoni na mitazamo yake.
 
Tatizo sio kipa bali tatizo ni mashuti ya Aziz Ki, makipa wengi wataonekana wabovu kwa mashuti yake tena anawalenga makusudi iwe waiteme
 
Attachments

  • 11.jpeg
    11.jpeg
    68.7 KB · Views: 2
Wore tumeona kombe la dunia timu nyingi zimebebwa na makipa Kuna watu wanahoji mbona Simba alipocheza na Azam hakutumia udhaifu wa kipa, ,, wanahoji sidhani kama walitazama Ile mechi kwani kwenye Ile mechi Simba hawakupiga hata shuti moja on target kama wangepiga mashuti hata matatu lazima wangepata goli
 
Hujaandika facts, weka stats za kipa wa Azam, linganisha na stats za making wengine wa level yake kama wa simba na yanga, then hapo ndio unaweza kutoa conclusion kwamba huyo mzee wa zamani amekurupuka.
Yule kipa hafai
 
Umeandika madudu hasa. Goalkeeper wa Azam kwenye mechi 4 ameruhusu magoli 9 ambayo ni idadi sawa na magoli yote aliyofungwa Manula kwenye mechi 17 za ligi msimu huu.
Goalkeeper wa Azam hauhitaji kuwa mtaalamu kuona ni overweight na anafungwa magoli kwa kushindwa kuruka akamaliza goli.
Ahmada haruki,anajibwagapuuuuh kwa urefu ule akiruka anafika katika mwamba ila analala baada ya kuchupa tatizo lake ni overweight
 
Wore tumeona kombe la dunia timu nyingi zimebebwa na makipa Kuna watu wanahoji mbona Simba alipocheza na Azam hakutumia udhaifu wa kipa, ,, wanahoji sidhani kama walitazama Ile mechi kwani kwenye Ile mechi Simba hawakupiga hata shuti moja on target kama wangepiga mashuti hata matatu lazima wangepata goli
Kwanini Simba ilishindwa kupiga shot on target hata moja?
 
Nilikuona ukiwa katika hali ya utulivu kabisa ukitamka Kuwashauri Azam eti kwanza watafute goli kipa badala ya kuhangaika na FEY!
Yaani Kwa mawazo yako ni kwamba kufungwa kwa Azam ilikuwa ni kwa sababu ya Ubovu wa goal keeper, ULIWAKOSEA Azam na unapaswa kuwaomba radhi mzee wetu.

Kwanza Azam hawajakosea kumuhitaji Feisal, hivyo ndivyo timu zenye malengo makubwa hufanya, kuhitaji huduma za wachezaji wakubwa wenye uwezo. Huwezi kuwa timu kubwa yenye mafanikio kama hutamani kuwa na wachezaji wakubwa kama akina FEY.

Lakini nirudi kwenye Mada yangu, hivi kweli Rage ninayemjua Mimi anaamini kipa ndio sababu ya Azam kufungwa na Yanga??

Mbona Rage umekuwa msahaulifu mapema kiasi hicho?

Kwani Azam huyu HAKUMFUNGA simba mechi ya Mkondo wa awali tena kipa akiwa ni HUYU HUYU Ahamada?

Na kwanini Rage uitumie Yanga kama kipimo cha ubora wa goal keeper wa Azam, tena katika mechi ya 18 tu ya ligi?!

Mzee wangu umeamua kujizima data!?, mbona ni mwaka wa nne huu Sasa mfululizo Manula anatunguliwa tu na hao Yanga haujawahi KUWA SHAURI simba kutafuta kipa mwingine!??
Huyu wa Azam haujawahi kuuona Ubovu wake isipokuwa kwenye mechi za Yanga tu,

Ukorrrrofi huo Rage!

Kwa ufupi hapa tatizo kwa Azam wala sio Walinda milango, si Ahamada wala Manula kwa Simba, tatizo la msingi ni Yanga kama timu ambayo ina funga yeyote aliyepo mbele yake isipokuwa kwa bahati mbaya kama juzi ilivyokuwa kule Highland Estate.
Keeper WA Azam wala hana hizo shida mnazolazimisha, Itoshe kuwa muungwana wataje Yanga kama tatizo la MSINGI kwa Azam ambayo bado ingali ikijitafuta.

Tatizo ni YANGA mzee wangu wala sio Kipa WA azamView attachment 2460516
Rage anajipendekeza kwa uto kwa vile aliwaanzishia tusi dhidi ya mashabiki na uto wanamsapoti sana hadi leo.

Ni watu ambao wanatakiwa kupigwa ban ya maisha kugombea uongozi kwenye timu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Nilikuona ukiwa katika hali ya utulivu kabisa ukitamka Kuwashauri Azam eti kwanza watafute goli kipa badala ya kuhangaika na FEY!
Yaani Kwa mawazo yako ni kwamba kufungwa kwa Azam ilikuwa ni kwa sababu ya Ubovu wa goal keeper, ULIWAKOSEA Azam na unapaswa kuwaomba radhi mzee wetu.

Kwanza Azam hawajakosea kumuhitaji Feisal, hivyo ndivyo timu zenye malengo makubwa hufanya, kuhitaji huduma za wachezaji wakubwa wenye uwezo. Huwezi kuwa timu kubwa yenye mafanikio kama hutamani kuwa na wachezaji wakubwa kama akina FEY.

Lakini nirudi kwenye Mada yangu, hivi kweli Rage ninayemjua Mimi anaamini kipa ndio sababu ya Azam kufungwa na Yanga??

Mbona Rage umekuwa msahaulifu mapema kiasi hicho?

Kwani Azam huyu HAKUMFUNGA simba mechi ya Mkondo wa awali tena kipa akiwa ni HUYU HUYU Ahamada?

Na kwanini Rage uitumie Yanga kama kipimo cha ubora wa goal keeper wa Azam, tena katika mechi ya 18 tu ya ligi?!

Mzee wangu umeamua kujizima data!?, mbona ni mwaka wa nne huu Sasa mfululizo Manula anatunguliwa tu na hao Yanga haujawahi KUWA SHAURI simba kutafuta kipa mwingine!??
Huyu wa Azam haujawahi kuuona Ubovu wake isipokuwa kwenye mechi za Yanga tu,

Ukorrrrofi huo Rage!

Kwa ufupi hapa tatizo kwa Azam wala sio Walinda milango, si Ahamada wala Manula kwa Simba, tatizo la msingi ni Yanga kama timu ambayo ina funga yeyote aliyepo mbele yake isipokuwa kwa bahati mbaya kama juzi ilivyokuwa kule Highland Estate.
Keeper WA Azam wala hana hizo shida mnazolazimisha, Itoshe kuwa muungwana wataje Yanga kama tatizo la MSINGI kwa Azam ambayo bado ingali ikijitafuta.

Tatizo ni YANGA mzee wangu wala sio Kipa WA azamView attachment 2460516
Hiko kizee sipiringi za ubongo zishaota kutu.
 
Naona ile dhambi ya kuwaita mbumbumbu, mashabiki wa timu yake ya simba, inaanza kumtafuna mwenyewe.

Tatizo la Azam halikuwa kwa golikipa! Mbona hata golikipa wa Yanga Diarra alifungwa magoli mawili na Sopu , kwenye hiyo mechi?

Tatizo lipo kwenye ubora wa Yanga!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom