yani hawa wafanyiwe utaaratibu haraka kama waliweza kuishi porini wakimsubiri Mungu basi watafanya mambo ya ajabu sana hapo air port, waondolewe kwani ni dhahiri hazijatimia vichwani mwao mapepo yamewazidi kupita kiasi hawa ndio wanasababisha air port kunakua na harufu mbaya, lazima...
mfano Ijumaa iliopita na jumamosi ndio hasa bei ilikua ya ajabu kisa abiria wengi kwakua wanaenda 77 kiukweli hakuna chombo cha kusimamia hizi bei za usafiri wa aina hii kila boat ina bei yake zenye bei ya chini abiria wanajazwa mpaka wanasimama bado na AC hazifanyi kazi si kuuana huku...
nimewafanisha wewe, Lowasa, Chenge na Rostam kwakua wote ni ndugu wa familia moja inayokua kwa kasi ya FISADI family na si kwarandi wala kabira.
kama hukukurupuka kusoma ungeona nimesema bei imepanda kila mtu anajua lakini kuileta humu ni ili kila mtu ajue na kuchangia kwa anachokijua juu ya...
wewe hili jina halikufai wewe si fairplay kama unavyojiita nakuomba ubadiri jina, tunapolalamokia mafisadi na huu pia ni ufisadi na simaanishi kua mimi nashindwa kulipa hiyo nauli tuelewe kua Tanzania inaidadi kubwa ya walala hoi iyo usipinge na kama wewe nimmoja wa mafisadi wasiojali wenzao...
Habari ya wiki endi ndefu wa ndugu wa familia ya Jamii forum, nina imani wote mpo salama.
Napenda kuwakilisha hii habari ili mlifahamu ili na kulichambua kwa umoja wetu.
Usafili wa Boat ni muhimu hasa kwa wenzetu wa Unguja, pemba na sehemu nyingine zote zinazofikikika kirahisi na usafiri wa...
naipenda sana CHADEMA lakini sasa naona wameanza kuharibu kiukweli kama swala ni marafiki na maongezi mbona mbowe washkaji au niite marafiki zake wengi ni wana CCM tena wale ambao huwezi kuwanunua hata kwa kiasi gani cha pesa hili halionekani na wanajuaje kama yupo pale kwakukimaliza chama na si...
MJJ aliposema kuhusu dini nilistuka kwanza lakini baada ya kusoma hayo majina sioni cha ajabu kabisa, kwanza upande wa bara waislamu ni walewale wa siku zote, na huko ZNZ alitaka nani awe kama sio hao ni kweli kabisa ZNZ more than 98% ni waislam ni ngumu kupata wahusika sawa katika dini2...
very true that was his job we dont have to hate him for that, the family is waaaaaaw!!!!! guys you can merry them with no problem as long as you will love and sherrish them
kwakweli naomba wote muitikie hiki nisemacho tena kwa sauti kubwa UPINZANI OYEEEEEEEEEE!!!!!!
HII HOTUBA IMEKAMILIKA NA VILIVYOONGEWA VYOTE NI VYA MUHIMU KWA NCHI NA MSLAHI YA WATZ KWA UJUMLA KWANINI WATU HATUONI JAMANI? HIVI NDIO VICHWA VINAVYOTAKIWA KUTUONGOZA.
NDIO MAANA IKIFIKA ZAMU YA...
karibu sana mpiganaji wetu, huku tunao wengi tu wanatuchora lakini poa tu mradi ujumbe uwafikie na wajue nini hatutaki na nini tunataka ili nchi isimame.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.