Et tu Brute? Wajueni Ma-Yuda Iskariote wenu!

Mimi naomba kuwe na thread yenye majina ya wabunge wote halafu tuwe tunavote kadiri siku zinavyoenda.
Asibaki hata mmoja ambaye hatapata grade.
Wale vuguvugu ndio kabisaaaa
wanasubiri kununuliwa na upande wa mafisadi.
 
1. Anna Abdallah-nisaidie kuniambia kosa lake ni nini ?kumpaka mama kilango kujifanya ana uchungu sana wakati ajenda ni ya wabunge wote.subjectivity.
2. Abdalla Kigoda
3. Peter Msola
4. Peter Serukamba-Nadhani kilichokuudhi ni msimamo wake kwa kile anachokiamini.ni haki yake kuwa na mawazo totauti na wengine kama wewe.
5. Andrew Chenge-uchunguzi unafanyika,haraka yako ya kutoa hukumu ni ya nini?huo ndio udikteta
6. Mustafa Mkullo-Chuki ni za wazi kwa kuwa amesema ukweli kuwa pesa ni za wafanyabiashara na si za serikali.hupendi kujua ukweli wa mambo,ni ujinga
7. Hawa Ghasia-Nini kibaya alichofanya ktk kadhia hii ya ufisadi?
8. Bernard Membe-Nini alichofanya katika kadhia hii ya ufisadi?
9. Maua Daftari-hizi ni chuki binafsi.
10. Mohamed Seif Khatib-jamaa yuko bize na kuandika mashahiri na kufanya kazi zake.kawasaliti kitu gani?
11. Nizar Karamagi-Hana imani na tume ya Mwakyembe.namuunga mkono.ilipendelea wazi.ipitiwe na jopo la majaji
12. Ibrahimu Msabaha-Katendewa haki kabisa.
13. Charles Keenja-Hizi ni chuki za kuangushwa ubunge kwa kijana wenu wa ubungo.hakuna jipya hapa
14. Emmanuel Nchimbi-Sijaelewa amewasaliti kitu gani katika kadhia hii ya ufisadi au ni chuki binafsi.nifafanulie
15. Edward Lowassa-Hakutendewa haki na hilo kamwe haliwezi futika.
16. Mary Nagu-Majungu yenutu hapa.
17. Milton Mahanga-Kawafanya nini ndugu huyu kibaya?
18. Rostam Aziz-Kagoda siyo yake,richmond pia siyo yake,dowans siyo yake.mmembandika then mnampa hukumu hasiyostahili.hajatendewa haki pia.
 
Nadhani umekosea njia hebu ulizia pale mbele... maana huko mbele barabara imefungwa kuna ujenzi.....
 
Hakuna aliyeonewa hapo na wala mdau hajatumiambwembwe nyingi kuwasilisha hoja yake ya usaliti na tena ni bahati tu amewatumia wawakilishi wa wapigakura (nasisitiza sio umma). Kuna wengine ambao wana nyadhifa kubwa na wameaminiwa na katiba na umma wa watanzania lakini wamekuwa wakishirikiana na WASALITI hawa, jaribu kuwafikiria makatibu wakuu na wasaidizi wao, wafikirie wanasheria wa serikali ambao wameshiriki kuingia mikataba 'angamizi' usiwasahau wanasheria wasio waajiriwa wa serikali ambao wamefanya kazi kubwa ya kuiangamiza nchi na umma kwa ajili ya fedha

HATUJALALA, TUNAJIANDAA KUCHUKUA KILICHO CHETU
 
john malecela anayengata na kupuliza haeleweki msimamo wake uko pande gani
samweli sitta anayekumbatia mafisadi ndani ya chama chake na mfujaji wa pesa za bunge kwa matumizi yake binafsi na nyumba yake ndogo (pharmacy tu ametumia millions....
 
Hivi Pinda mmemkumbuka kwnyw list?
 
Said Juma MKUMBA, mbunge wa Sikonge. Huyu yeye huwa ni kusema "hata mimi naungana na mchangiaji ......" Hata siku moja haji na hoja yake mwenyewe. Baba yake akiwa M/k wa CCM Tabora alikuwa akimpitisha yeye kila mwaka awe mgombeaji. Hili jamaa halina manufaa yoyote kwa wanachi. Heri hata Mkuu wa wilaya yuko kusaidia. Sitaki kumkashifu ila watu kama hawa wanaitwa kule Sikonge " KIBUMBUSWA" yaani Kichuguu kwani miaka nenda miaka rudi utakuwa wako palepale. Hivi ndivyo ilivyo Tabora kwa ujumla.
 
Yaani wote mliowataja mmemsahau Mdharaulika I mean Mheshimiwa CHITALILO. Juzi tu hapa kwenye mjadala wa bajeti bila haya wala aibu akameza kaseti yenye tungo za utetezi wa ufisadi, eti oh "kwani Chenge kavunja nyumba ya nani?" huyu na Serukamba ni fedheha tupu kuwa nao bungeni.
 
Ritha Mlaki na kuwalaghai walala hoi wa Kawe kwa mapilau na kuwatukana wakazi O'bay, Masaki kwa kuwaambia hajali hata wasipompigia kura kwani huko eneo la nyumba la ukubwa wa heka moja wapiga kura hawazidi3 hivyo hawamtishi kitu kawe inamtosha kwani eneo la heka moja kuna wapiga kura zaidi ya 40
 
Hawa makada wa CCM bora wakae kimya maana hakuna cha kutetea huyu akumbuki kuwa watu wamepimwa na kuambiwa wana ukimwi wakati hawana na wenye nao wakaambiwa hawana kwa sababu ya anna abdalaah wakati waziri wa afya, hatujasahau bado tunakumbuka.
 
1. Anna Abdallah-nisaidie kuniambia kosa lake ni nini ?kumpaka mama kilango kujifanya ana uchungu sana wakati ajenda ni ya wabunge wote.subjectivity.
2. Abdalla Kigoda
3. Peter Msola
4. Peter Serukamba-Nadhani kilichokuudhi ni msimamo wake kwa kile anachokiamini.ni haki yake kuwa na mawazo totauti na wengine kama wewe.
5. Andrew Chenge-uchunguzi unafanyika,haraka yako ya kutoa hukumu ni ya nini?huo ndio udikteta
6. Mustafa Mkullo-Chuki ni za wazi kwa kuwa amesema ukweli kuwa pesa ni za wafanyabiashara na si za serikali.hupendi kujua ukweli wa mambo,ni ujinga
7. Hawa Ghasia-Nini kibaya alichofanya ktk kadhia hii ya ufisadi?
8. Bernard Membe-Nini alichofanya katika kadhia hii ya ufisadi?
9. Maua Daftari-hizi ni chuki binafsi.
10. Mohamed Seif Khatib-jamaa yuko bize na kuandika mashahiri na kufanya kazi zake.kawasaliti kitu gani?
11. Nizar Karamagi-Hana imani na tume ya Mwakyembe.namuunga mkono.ilipendelea wazi.ipitiwe na jopo la majaji
12. Ibrahimu Msabaha-Katendewa haki kabisa.
13. Charles Keenja-Hizi ni chuki za kuangushwa ubunge kwa kijana wenu wa ubungo.hakuna jipya hapa
14. Emmanuel Nchimbi-Sijaelewa amewasaliti kitu gani katika kadhia hii ya ufisadi au ni chuki binafsi.nifafanulie
15. Edward Lowassa-Hakutendewa haki na hilo kamwe haliwezi futika.
16. Mary Nagu-Majungu yenutu hapa.
17. Milton Mahanga-Kawafanya nini ndugu huyu kibaya?
18. Rostam Aziz-Kagoda siyo yake,richmond pia siyo yake,dowans siyo yake.mmembandika then mnampa hukumu hasiyostahili.hajatendewa haki pia.

Fisadi Mtoto,

Karibu na kwa kuleta Utetezi wako Je hawa wamewatumikia vipi wananchi wa majimbo yao kuhakikisha kuwa maendeleo ya kweli yamepatikana?

Hatupimi tena mambo ya porojo, bbali ni lipi kwa kutumia nyadhifa zo za kisiasa na uwakilishi wao kama Wabunge, wameweza kuleta mabadiliko ya kimaondeleo kuondokana na Umasikini , Ujinga na Maradhi na si kuendelea kuwa Baragumu la kutetea udhaifu wa Kisiasa wa Chama na Serikali wanayoitumikia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom