Recent content by maganza84

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli bandari inaajiri hata watu wasio na taaluma yoyote?

    Labda atayachanganyia kitandani,pale kazi wanapeana kiundugu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ajisalimisha kituo cha Polisi

    Ni uchizi tu huu,kwana ana kashfa ya mke wa Mbasha,anatafuta umaarufu tu,hivi mbona Yesu hakufanya mambo ya kipuuzi kama haya au ndio wapinga kristu hawa,ni ujinga tu huu,anashindwa kuwakemea mafisadi anamkemea Pengo au kstumwa huyu!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sijisikii kumpenda tena, lakini namuonea huruma kumwacha

    Huyo umemtumia muda wote huo unategemea aolewe na nani,wewe ni mchafuzi na nakuombea na wewe uoe changudoa,mnaleta vitamaa vyenu vya mapenzi vikiisha mnajifanya upendo umekwisha,hivi baba yako angemfanyia hivyo mama yako wewe leo hii ungekuwepo? Umefanya kosa kubwa sana be responceble
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, pitia hapa

    Your so nice girl usikate tamaa sio kila mtu ataku judge vizuri but kwa mtazamo wangu your a smart girl na utafanikiwa sana infuture
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Serikali tatu ni ya kishabiki na kinafiki

    Uongozi mbovu ni sehemu ya kero za wananchi mfano mdogo ni ajira za kujuana,kama serikali ingekuwa ina uongozi bora tusingekuwa na hii kero kubwa ya ajira za kindugu, kabla ujaongea wasikilize kwanza waliokuzidi akili na elimu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Serikali tatu ni ya kishabiki na kinafiki

    Yani kama umefatilia mijada inayoendelea inayojadiliwa pia na ma Professor tena wanaoijui hii nchi kuliko hata raisi na wewe ukiwemo bado unakuwa na fikra zinazo scrach kama CD mbovu unabisha kuhuusu serikali3 dah! Mkuu inabidi ufanyiwe uchunguz wa Akilii
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

    Nilikuwa namuona ana busara kumbe duh! Sitaki hata kupiganae picha
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vitu vinavyonikera ndani ya ndoa

    Ni uzembe wako hayo wenzako wajanja huwa wanayaangalia tangu kipindi cha uchumba,jamaa yupo sahihi kwa maana hukujua kuishinae tangu mwanzo wa mahusiano. Ingawa mimi binafsi ingawa sijaoa lakini nauhakika nitakuwa namsaidia mke wangu kwa hali zote hata nikiitwa bushoke poa tu mradi yeye...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz vs Ali Kiba, nani mkali?

    Wanaompa Ally kichwa wanamuharibu maana jamaa sasahivi anaimba kama underground tu wasimpe sifa za kijinga,Diamond ni "NYOKO"
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anakwaa pipa Rasmi Leo kwenda Ughaibuni

    Mkuu hapo umechemka,
  11. M

    JamiiForums Tanzania Herufi ya mwanzo ya jina lako inabeba tabia yako

    Si kweli,nimesoma maelezo ya herufi nyingi hapo si kweli labda umetafiti ktk ukoo wenu but IT IS WRONG,VERY WRONG hata erufi ya jina langu umechemka vibaya sijui umetoa wapi idea hizi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni haki kuhubiri hovyo hovyo kwenye mabasi ya umma?

    Mbona huulizi kama ni haki kuweka matangazo ya condom,pombe na matangazo ya burudani ovyo ovyo? Unaona kuhubiri Neno la Mungu ovyo ovyo ndio kero kwako, mbona hukereki na mabinti kuvaa ovyo ovyo kila kona ya mji. Suit yourself na muogope Mungu tena ushukuru kuona Neno la Mungu kuhubiriwa ovyo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wema sepetu akifa tutamkumbuka kwa lipi?

    Atakumbukwa kwa umbile la ------ yake na hicho ndicho anachopendewa na vijana wengi wa kibongo trust me otherwise nothing special watazunguka SANA ila huo ndio ukweli
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake mtatumaliza

    Sioni sababu ya kumpiga chini hata kama humtaki usimuache kaka wanaume wa ukweli huwa hawaachi kiivyo we tumia tu kisela
  15. M

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    Hahahahahaaaaa duh!
Back
Top Bottom