Maoni ya Serikali tatu ni ya kishabiki na kinafiki

Eti tujadili kero za muungano? ni marangapi tume zimeundwa kujadili hizo kero za muungano bila mafankio?
 
Bunge la katiba bila Ukawa haliwezi kufika popote, wanaobisha na wabishe
 
Michepuko unaangalia bunge sahz au unachepukwa? Maana watu wengne huwa mnaziba maskio ili kuzuia harufu mbaya? Na sisiem kwa kuchepuka tena wanailipa vzuri michepuko yao. Kamuulize yule dem wa kept msitu. Kaz nzuri. 6 kasema posho tyr wah katege wameacha wake zao majumban.
 
kila mtu yupo huru kutoa maoni yake kwa hoja na sio matusi.

critically thinking ukichunguza wale wote wanaodai serikali tatu wamejaa ushabiki,uzandiki na unafiki....

kikubwa hapa ni watanzania kujiuliza ni aina gani ya Muungano tulio nao,nakumbuka bwana Mwakyembe (Mb) aliwahi kuelezea vema sana aina ya Muungano tulio nao.Ifahamike pia Muungano wetu ni wa mambo yasiyozidi saba (7) I stand to be corrected.

jambo la msingi kabisa hapa ni kujadili kile kinachoitwa kero za Muungano zinazotokana na mambo haya saba na sio kuunda kitu kipya kwa maana ya kusolve kero izo...

Muundo wa serikali mbili unaoondosha kero izo (either kwa kupunguza hayo mambo saba ya muungano yawe manne) ndio iwe suluhisho la aina ya Muungano tuutakao..

napatwa na mashaka sana na wale wote waliotoa maoni ya Muungano wa serikali tatu,ni mawazo yaliyojaa ushabiki na unafiki wa kutotaka kuwazua kwa kina hatima ya kile wanachokililia...nasema tena ni mawazo ya kishabiki ambayo mwisho wa siku wananchi hao watakimbia na kuiacha serikali ikijifia kwa zigo la garama za uendeshaji...

tukae tutafakari kwa kina mambo y amsingi kama huduma muhimu za shule,hospitali na maji namna ambavyo serikali itatufikia na sio kushabikia kinafiki kuongeza ukubwa wa serikali...

hata hivyo,robo tatu ya wajumbe imetimia na bunge la katiba linaendelea kama kawaida na katiba itapatikana tu!!na kwa vile wengi ni washabiki maandazi wataipokea tu na kuendelea na majukum yao y akila siku

Hii post inaonyesha ulivyo na uwezo mdogo wa kufikiri
 
Jana wajumbe wa Tume ya katiba wameeleza kwa kina umuhimu wa serikali tatu, nafuu yake kigharama tena kulingana na taarifa ya wizara ya fedha. Sasa kama ulisikiliza kwa makini na bado unabisha, lazima tu utakuwa na matatizo yako binafsi
 
Sasa mtoa mada unasuggest iundwe chombo kitakachoshughulikia muungano je hicho chombo kitaitwaje?Itaitwa tume ama?Ufafanuzi please
 
kuondoa kero za muungano nani anaweza?muda gani kero zimedumu?nani mwenye nia ya dhati kuondoa kero hizo?jipime vizuri pia unazo element za uccm.
 
Yani kama umefatilia mijada inayoendelea inayojadiliwa pia na ma Professor tena wanaoijui hii nchi kuliko hata raisi na wewe ukiwemo bado unakuwa na fikra zinazo scrach kama CD mbovu unabisha kuhuusu serikali3 dah! Mkuu inabidi ufanyiwe uchunguz wa Akilii
 
Uongozi mbovu ni sehemu ya kero za wananchi mfano mdogo ni ajira za kujuana,kama serikali ingekuwa ina uongozi bora tusingekuwa na hii kero kubwa ya ajira za kindugu, kabla ujaongea wasikilize kwanza waliokuzidi akili na elimu
 
Hii kali kweli.....usitishike na jina serikal tatu kwa maana muundo tulio nao ni wa serikali tatu.

STRONG MISS sina zawadi ya kukupa kwa heavy point unazo shusha, kweli wewe iron lady...! Nitakupa zawadi ya posa kwa kuwa postive woman ukaijenge historia yako kuwa ulipata mume kwa kutoa michango nguri kwenye mchakato wa bmk.
 
naona mleta hii mada akili zako zimechepuka kabisaa!hata uelimishwe vp utaendelea kuchepuka tu,yaani we ni bingwa la michepuko.Pamoja na somo lote lile la jana bado umeendelea tu kuchepuka
 
hata wewe huna hoja umeandika kishabiki tu
 
kila mtu yupo huru kutoa maoni yake kwa hoja na sio matusi.

critically thinking ukichunguza wale wote wanaodai serikali tatu wamejaa ushabiki,uzandiki na unafiki....

kikubwa hapa ni watanzania kujiuliza ni aina gani ya Muungano tulio nao,nakumbuka bwana Mwakyembe (Mb) aliwahi kuelezea vema sana aina ya Muungano tulio nao.Ifahamike pia Muungano wetu ni wa mambo yasiyozidi saba (7) I stand to be corrected.

jambo la msingi kabisa hapa ni kujadili kile kinachoitwa kero za Muungano zinazotokana na mambo haya saba na sio kuunda kitu kipya kwa maana ya kusolve kero izo...

Muundo wa serikali mbili unaoondosha kero izo (either kwa kupunguza hayo mambo saba ya muungano yawe manne) ndio iwe suluhisho la aina ya Muungano tuutakao..

napatwa na mashaka sana na wale wote waliotoa maoni ya Muungano wa serikali tatu,ni mawazo yaliyojaa ushabiki na unafiki wa kutotaka kuwazua kwa kina hatima ya kile wanachokililia...nasema tena ni mawazo ya kishabiki ambayo mwisho wa siku wananchi hao watakimbia na kuiacha serikali ikijifia kwa zigo la garama za uendeshaji...

tukae tutafakari kwa kina mambo y amsingi kama huduma muhimu za shule,hospitali na maji namna ambavyo serikali itatufikia na sio kushabikia kinafiki kuongeza ukubwa wa serikali...

hata hivyo,robo tatu ya wajumbe imetimia na bunge la katiba linaendelea kama kawaida na katiba itapatikana tu!!na kwa vile wengi ni washabiki maandazi wataipokea tu na kuendelea na majukum yao y akila siku
Wewe uliyeandika hapa ni kinyesi tu.Tulia uelimishwe...Pathetic!!!
 
Heri ya -------- anayejua kwamba hajui kuliko mjinga asiyejua kwamba hajui na bado anashupaa tu na kujipigapiga kifua kwa mbwembwe!!!

Kama ungekuwa mjumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba ningekubali kwamba unajua unachoongea; short of that hata wewe ni mshabiki nadhani wa Mwigulu au Wassira, mzandiki na mnafiki mkubwa kwa sababu contention yako is not backed with facts; bali ushabiki mandazi au blind fanatism for CCM; you are most likely embedded. period
 
Rasimu ya katiba ime-suggest serikal 3, na si ya jaji warioba Bali ni ya wananchi, haiingii akilini Zanzibar Kuwa na katiba yake , ambayo haituhusu alaf bado katiba yetu iwahusu,..
Wazo langu ni Kuwa tuwe na katiba yetu, ambayo inaitambua Zanzibar Kama nchi ila tumeungana nao na Kuwa nchi 2 zinazoshirikiana...na ili Hilo Liwe vizur inabid tuwe na serikal ambayo Kazi yake ni kujadili ushirikiano wetu, na Hilo ndio wazi la serikal 3 likaja....
 
Sasa mtoa mada unasuggest iundwe chombo kitakachoshughulikia muungano je hicho chombo kitaitwaje?Itaitwa tume ama?Ufafanuzi please

hawezi kujibu swali hili mana uwezo wake ni mdogo
 
kila mtu yupo huru kutoa maoni yake kwa hoja na sio matusi.

critically thinking ukichunguza wale wote wanaodai serikali tatu wamejaa ushabiki,uzandiki na unafiki....

kikubwa hapa ni watanzania kujiuliza ni aina gani ya Muungano tulio nao,nakumbuka bwana Mwakyembe (Mb) aliwahi kuelezea vema sana aina ya Muungano tulio nao.Ifahamike pia Muungano wetu ni wa mambo yasiyozidi saba (7) I stand to be corrected.

jambo la msingi kabisa hapa ni kujadili kile kinachoitwa kero za Muungano zinazotokana na mambo haya saba na sio kuunda kitu kipya kwa maana ya kusolve kero izo...

Muundo wa serikali mbili unaoondosha kero izo (either kwa kupunguza hayo mambo saba ya muungano yawe manne) ndio iwe suluhisho la aina ya Muungano tuutakao..

napatwa na mashaka sana na wale wote waliotoa maoni ya Muungano wa serikali tatu,ni mawazo yaliyojaa ushabiki na unafiki wa kutotaka kuwazua kwa kina hatima ya kile wanachokililia...nasema tena ni mawazo ya kishabiki ambayo mwisho wa siku wananchi hao watakimbia na kuiacha serikali ikijifia kwa zigo la garama za uendeshaji...

tukae tutafakari kwa kina mambo y amsingi kama huduma muhimu za shule,hospitali na maji namna ambavyo serikali itatufikia na sio kushabikia kinafiki kuongeza ukubwa wa serikali...

hata hivyo,robo tatu ya wajumbe imetimia na bunge la katiba linaendelea kama kawaida na katiba itapatikana tu!!na kwa vile wengi ni washabiki maandazi wataipokea tu na kuendelea na majukum yao y akila siku

serikali 2 ni Tanganyika kuikoloni Zanzibar.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Back
Top Bottom