ndugu yangu ndoto yako ina maana hiii
hyo paka ulomuota ni adui wa kiroho linaweza kuwa kundi la wachawi au majini maana paka htumiwa sana na wachawi.
pili basi ni kipando hvyo huenda itakuwa hicho kikundi cha wachawi kilktaka kukuingiza kwwnye mfumo wao ila mungu amekulinda nao ila zaidi...
alafu huwa najiulizaga sana je ni kweli mungu nafsi yake ya binadamu???wkt najua mie kua mungu ni mkuu na mtoa muongozo kabla na hata ya kuwepo binadamu.
sasa inakuwaje asitupe dini kabla ya kuumbwa kwa adamu au alete dini baada ya adamu matokeo yake hutela dini baadae kabisa mpk inatokea...
Mie bhana kinachonishangaza kwenye dini kuwa unaambiwa usiende kwa waganga wkt dini yenyewe ni imani kama ilivyo kumuamini mganga na kwa bahati nzuri unakuta mganga pia anakwambia mtegemee mungu utafanikiwa hicho kitu au una kuta mtu unateseka na gonjwa la kupewa mda mrefu alf mwisho wa siku wew...
mie naomba kuuliza unaweza kuondoa mtu majini aliokuwa nayo ambayo ni ya uganga???maana nimemaliza chuo nasota na hangaika kwa kila hali ila holaaaa mpm sasa.
naambiwa niganguo muarabu yupo kichwani.
Wanajamvi kongole ziende kwenu kwa kufanikisha JamiiForums iendelee kuwepo bila nyie basi maarifa mtaani hayatapatikana.
Naomba niende mazima kwenye mada yangu ujue siku zote Waafrika kuacha mila zao ni ngumu mno sasa kwa muda huu tuna kitu linaitwa dini ambacho kinatufanya tuishi kupitia...
Habari!
Naomba kupata msaada wa kisheria kuwa inawezekana mtu aliekulia Tanzania bara na akawa na vyeti vya kuzaliwa Pamoja na ambavyo vinaonesha ni wa Tanzania bara(Kitambulisho Cha utaifa) kuwa anaweza kupata kitambulisho cha mzanzibari?
Bila kusahau cheti cha kuzaliwa cha Zanzibar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.