Ifahamu Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM

Ifahamu Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,252
Reaction score
9,305
MAJUKUMU

• Kushughulikia masuala ya msingi ya Itikadi na Sera za Chama Cha Mapinduzi.

• Kueneza na kufafanua Itikadi na Sera za CCM.

• Kupanga na kusimamia Mafunzo na Maandalizi ya Makada na Wanachama.

• Kusimamia Vyombo vya Habari vya Chama, Mawasiliano na Uhamasishaji wa Umma kwa Jumla.

• Kuongoza na kusimamia maandalizi ya Sera, Programu na Ilani za Uchaguzi za CCM.

• Kusimamia Utafiti, Maktaba na Nyaraka za Chama.




polepole.jpg
 
Samahani mkuu.....
Yaani kwa cheo, mamlaka, shangingi V8, walinzi, mshahara, mafungu pamoja na posho anazo zipata ndio anamuonekanohuo..[emoji848][emoji848] sasa alikuaje hapo kabla, enzi akiwa mwana harakati na hakua na kotu..!!??
 
CCM ni chama imara sana sababu ya msingi bora
 
Back
Top Bottom