Nimeota napambana na paka mwitu Jeusi la kutisha kwa kupigana nalo kwa muda mrefu. Naomba tafsiri ya hii Ndoto

Naomba na Mimi nipewe tafsiri ya hii ndoto

Nimeota Watu wanazika kaburini na siwajui hata. Na hio Siku sikuwa nimetaka kulala ila nikapitiwa tuu na usingizi nadhani ilikua like 15min nikashtuka toka usingizini na baada ya hapo majira ya saa 11 kasoro alfajiri nikiwa macho. Kuna kitu kikubwa(Approx 3-4 kg of weight ) kimeanguk juu ya bati hap napolala. Kutoka nje sioni kitu.

Baada ya hapo Siku kadhaambele Nilinusurika sana sana kusombwa na boda boda. It was so close wajameni
Hilo moja kwa moja ni jaribio la kiroho juu ya uhai wako. Sio kwamba yamekwisha ila tu umeponea chupu chupu mpango wa kukuangamiza. Kama wewe bado ni mchanga kiroho basi mtafute mtumishi wa kweli wa Mungu aliye hai akuombee. Lakini pia fanya sala na maombi ukimaanisha. Kamwe usilale bila sala.
 
Nikushauri tu ufunge na kuomba kadiri uwezavyo,,huyo ni pepo mchafu,,ila humu JF sidhani kama utapata wakukutafasilia ndoto yako....
 
ndugu yangu ndoto yako ina maana hiii

hyo paka ulomuota ni adui wa kiroho linaweza kuwa kundi la wachawi au majini maana paka htumiwa sana na wachawi.

pili basi ni kipando hvyo huenda itakuwa hicho kikundi cha wachawi kilktaka kukuingiza kwwnye mfumo wao ila mungu amekulinda nao ila zaidi muombe mungu utashinda vita maana ndoto ilikuonesha kuwa huyo paka kapotea tu bila kujua kama umemuangamiza.
 
Ndugu habarini,

Nina matumaini kuwa wazima,Naombeni mnisaidie kunipa maana ya ndoto Nimeiota jana Usiku.

Ipo hivi,niliota napambana na paka mwitu Jeusi la kutisha kwa kupigana nalo kwa muda mrefu baada ya muda yule paka akapotea.

Ndoto nyingine pia niliota kwenye tupo kwenye gari aina ya costa nipo mimi Pamoja na wanafunzi niliomaliza nao miaka hiyo na Abiria wengine Gari ilikuwa inakimbia sana mimi na mwenzangu mmoja tukaruka kupitia dirishan baada ya muda mfupi gari ikapasuka taili na kupata ajali na kudumbikia mtoni. Baada ya Hapo NdotO ikaisha

Hizi zinamaanisha nin? Naomba mnisaidie
Paka = roho ya uchawi na si mchawi ni mpaka itakapomwingia mtu. Na gari = na huduma yako unayofanya au utakayofanya, unatakiwa uchukue hatua kwa uharibifu wa maisha yako wameyaseti bado utekelezaji tu. Kwa kifupi sana ni hivyo nijuavyo mm.
 
Mnyama paka katika vita vya kiroho huwakilisha wakuu wa giza

Maana yake unamizimu iliyoweka mtego ktk maisha yako , kwa hiyo unafuatiliwa kwa ajiri ya maslahi Yao ktk ulimwengu wa roho

Solution

Unapaswa uwe karibu na muumba wako ili akuonyeshe hiyo mitego ukaiondoe mwenyewe maana hutegwa na ni vigumu kuifahamu . Nje ya hapo yatakusumbua mpaka kifo chako
 
Ndoto yako Haina mafumbo sana. Ila kabla ya yote kumbuka mwenye majibu sahihi ya ndoto yako Ni Mungu. Maandiko matakatifu imeandikwa "Yusufu akamjibu Farao, akisema, Si mimi; Mungu atampa Farao majibu ya amani."
Mwanzo 41:16

Lakini kwa ufahamu niliopewa nitakwambia machache
Ndoto ya kwanza paka anawakilisha Roho za kichawi. Hivyo ulichokuwa unaoneshwa unapambana nacho Ni roho za kichawi.

Ndoto ya pili basi ni chombo Cha usafiri Cha jumuiya. Katika basi mpo na watu mliosoma nao. Unapewa taarifa kiroho Kuna gari lilowabeba nyinyi nyote lakini Hilo gari limefikia mwisho wake hivyo unatakiwa utoke haraka maana Hilo gari linakwenda kuwadondosha muda mfupi baadaye. Umeandika kuwa gari kulikuwa linakwenda kwa Kasi likapasuka taili. Kinachoelezwa hapo Ni kuwa Jambo litatokea bila nyinyi kulitazamia mfano biashara unyoifanya imesitawi halafu ghafla inaporomoka. Angalia kwa msaada wa Roho mtakatifu kwenye elimu uliyoisomea au kazi au biashara nk.

NB: Hilo Ni onto Mungu amekupa ili akusaidie usije ukaangamia. Rejea habari za Nuhu na safina "Kwa imani Nuhu akiisha kuonywa na Mungu katika habari za mambo yasiyoonekana bado, kwa jinsi alivyomcha Mungu, aliunda safina, apate kuokoa nyumba yake. Na hivyo akauhukumu makosa ulimwengu, akawa mrithi wa haki ipatikanayo kwa imani."
Waebrania 11:7

Zaidi muombe Mungu atasema nawe na kukupa maelekezo yote ya nini Cha kufanya.

Nyongeza Ni kwamba Mungu anaongea na Kila mtu Ni wewe tu kuamua kumsikiliza. Ameshaongea na mimi, mke wangu hata watoto wetu Kila Mara na tunajadiriana naye vizuri tu hivyo ondoa hofu jitakase nenda mbele zake muulize huku masikio yako ya rohoni yawe tayari kusikia
 
Naomba na Mimi nipewe tafsiri ya hii ndoto

Nimeota Watu wanazika kaburini na siwajui hata. Na hio Siku sikuwa nimetaka kulala ila nikapitiwa tuu na usingizi nadhani ilikua like 15min nikashtuka toka usingizini na baada ya hapo majira ya saa 11 kasoro alfajiri nikiwa macho. Kuna kitu kikubwa(Approx 3-4 kg of weight ) kimeanguk juu ya bati hap napolala. Kutoka nje sioni kitu.

Baada ya hapo Siku kadhaambele Nilinusurika sana sana kusombwa na boda boda. It was so close wajameni

Hama hapo au ishi Kwa maombi
 
Ndugu habarini,

Nina matumaini kuwa wazima,Naombeni mnisaidie kunipa maana ya ndoto Nimeiota jana Usiku.

Ipo hivi,niliota napambana na paka mwitu Jeusi la kutisha kwa kupigana nalo kwa muda mrefu baada ya muda yule paka akapotea.

Ndoto nyingine pia niliota kwenye tupo kwenye gari aina ya costa nipo mimi Pamoja na wanafunzi niliomaliza nao miaka hiyo na Abiria wengine Gari ilikuwa inakimbia sana mimi na mwenzangu mmoja tukaruka kupitia dirishan baada ya muda mfupi gari ikapasuka taili na kupata ajali na kudumbikia mtoni. Baada ya Hapo NdotO ikaisha

Hizi zinamaanisha nin? Naomba mnisaidie

Kuna vita au uadui utaushinda..

Na kuna ajali inaelekea kwenye circle yako
Wewe utanusurika..
Ajali Kwa maana ya Jambo baya lolote
 
Ndugu habarini,

Nina matumaini kuwa wazima,Naombeni mnisaidie kunipa maana ya ndoto Nimeiota jana Usiku.

Ipo hivi,niliota napambana na paka mwitu Jeusi la kutisha kwa kupigana nalo kwa muda mrefu baada ya muda yule paka akapotea.

Ndoto nyingine pia niliota kwenye tupo kwenye gari aina ya costa nipo mimi Pamoja na wanafunzi niliomaliza nao miaka hiyo na Abiria wengine Gari ilikuwa inakimbia sana mimi na mwenzangu mmoja tukaruka kupitia dirishan baada ya muda mfupi gari ikapasuka taili na kupata ajali na kudumbikia mtoni. Baada ya Hapo NdotO ikaisha

Hizi zinamaanisha nin? Naomba mnisaidie
Unajuwa gari taili likipasuka huwa ndo mwisho wa safari
Tuanzia hapa kujuwa maendeleo yako shuleni ,maisha yako na wanafunzi wezako safari ya masomo na maisha.
Kama ni mwanafunzi inawezekana Darasa lenu mtafali,anza mchakato wa kuama shule.
Inawezekana shule umemaliza lakini wanafunzi ulioanza nao siyo ndiyo uliomalizanao pamoja.
Kwenye maisha inawezekana umefanikiwa lakin wezako wanafunzi wezako wapo kwenye shida

Kuhusu paka mweusi ulipigana naye baadaye akapotea sijajua nani alishinda lakini hilo pambano liliacha majerah. Na jerah linaweza kuwa lango la kuingiza uchafu

kuna ndoto mtu anaota anafukuzwa na Myama baadaye inapotea atutegemei kupata jerah
 
Ndugu habarini,

Nina matumaini kuwa wazima,Naombeni mnisaidie kunipa maana ya ndoto Nimeiota jana Usiku.

Ipo hivi,niliota napambana na paka mwitu Jeusi la kutisha kwa kupigana nalo kwa muda mrefu baada ya muda yule paka akapotea.

Ndoto nyingine pia niliota kwenye tupo kwenye gari aina ya costa nipo mimi Pamoja na wanafunzi niliomaliza nao miaka hiyo na Abiria wengine Gari ilikuwa inakimbia sana mimi na mwenzangu mmoja tukaruka kupitia dirishan baada ya muda mfupi gari ikapasuka taili na kupata ajali na kudumbikia mtoni. Baada ya Hapo NdotO ikaisha

Hizi zinamaanisha nin? Naomba mnisaidie
Uyu ndo mjuvi wa njozi Freedom tommorrow
 
Ndoto zote zina maana moja, kuna vikwazo mbeleni, Jihadhali kwa kila uwamualo kulitenda.
 
Nisaidieni maana ya hii pia:
Niliwai ota(kama siku 4 zimepita) nipo nyumban na jamaa mmoja ni jirani yetu tukawa tunatoa vinazi zichanga kwenye mnazi wao(alisema et tuvitoe ili mnazi uweze kukua vizuri) mm nilikuwa na msaidia tu, mara kuna mdudu kama konokono akaninatia kwenye kiganja baada ya mda nikahisi kama ananichoma na visindano kwenye kiganja nilipo mtoa baada ya kama dakika 5 kiganja kikaanza kuwasha nikapata wazo la kukibinya kila nilipokuwa nakibinya kikawa kinatoa vitu kama usaha nikaendelea kufanya hvyo kwa mda mrefu, baada nikaomba msaada kwa huyo jamaa niliekuwa nae anibinye alipojaribu kufanya hvyo ulitoka huo usaha na kikatoka kitu kikubwa kama mnyoo na mkono ukazid kuuma baade nikaanza kuona vitu kama mende wadogo na funza zinatembea ndani ya kiganja mara nikashituka.
 
Uoge kwa sabuni ya Detol
 
Ndugu habarini,

Nina matumaini kuwa wazima,Naombeni mnisaidie kunipa maana ya ndoto Nimeiota jana Usiku.

Ipo hivi,niliota napambana na paka mwitu Jeusi la kutisha kwa kupigana nalo kwa muda mrefu baada ya muda yule paka akapotea.

Ndoto nyingine pia niliota kwenye tupo kwenye gari aina ya costa nipo mimi Pamoja na wanafunzi niliomaliza nao miaka hiyo na Abiria wengine Gari ilikuwa inakimbia sana mimi na mwenzangu mmoja tukaruka kupitia dirishan baada ya muda mfupi gari ikapasuka taili na kupata ajali na kudumbikia mtoni. Baada ya Hapo NdotO ikaisha

Hizi zinamaanisha nin? Naomba mnisaidie
Habari mkuu,
Pole kwa ndoto hizi maana kwa wengine huwapelekea kuwa na misongo ya mawazo katika maisha
1: Elewa ya kwamba paka katika ndoto huwa ni kuchezwa shere kwa muotaji na inatarajiwa aliyeota ajichunge na yale yanayomzunguka hasa katika watu aliona/anao fanya nao deal na pia kwa watumishi au wanaomfanyia kazi paka kumuota ndotoni vyovyote vile unatakiwa uwe na tahadhali kutokana na kuwindwa na adui wa kisiri siri. Kulingana na ndoto yako basi ni ishara kuwa tatizo hilo litakufika lakini utaweza kulivuka baada ya tabu na kama akikung'ata basi utahesabu kusumbuliwa na janga moja kwa mwaka mzima.

2: Kwa ndoto hii ya pili ni ishara kwamba unatakiwa uongeze elimu katika shughuli au jambo unalojishughulisha nalo na inakupa tahadhali usipofanya hivyo basi utaanguka na hii ni Sahihi zaidi mkuu chochote unachojihusisha nacho au unachotaka kujihusisha nacho ongeza elimu yake au utakwamia njiani na kushindwa kufanikia/ hata kwa jambo lolote unalofatilia muda huu

Kwa maana zingine za ndoto tembelea link hii utajua zaidi NDOTO NA MAANA ZAKE: ZIJUE NDOTO ZAKO

Rakims
 
Nisaidieni maana ya hii pia:
Niliwai ota(kama siku 4 zimepita) nipo nyumban na jamaa mmoja ni jirani yetu tukawa tunatoa vinazi zichanga kwenye mnazi wao(alisema et tuvitoe ili mnazi uweze kukua vizuri) mm nilikuwa na msaidia tu, mara kuna mdudu kama konokono akaninatia kwenye kiganja baada ya mda nikahisi kama ananichoma na visindano kwenye kiganja nilipo mtoa baada ya kama dakika 5 kiganja kikaanza kuwasha nikapata wazo la kukibinya kila nilipokuwa nakibinya kikawa kinatoa vitu kama usaha nikaendelea kufanya hvyo kwa mda mrefu, baada nikaomba msaada kwa huyo jamaa niliekuwa nae anibinye alipojaribu kufanya hvyo ulitoka huo usaha na kikatoka kitu kikubwa kama mnyoo na mkono ukazid kuuma baade nikaanza kuona vitu kama mende wadogo na funza zinatembea ndani ya kiganja mara nikashituka.
Ndoto Ni lugha ya picha ambayo Mungu huitumia kuongea na watu wake lakini pia shetani hutumia lango Hilo la ndoto kuingiza vitu vyake, lakini pia ndoto huja kwa ajili ya uchovu mwanadamu anaoupata wakati anapofanya kazi.
Soma
Matendo 2:17
Ayubu 7:14-15
Mhubiri 5:3

Lakini ndoto yako kiujumla Kuna roho ya uharibifu umeingiziwa. Angalia tabia ya konokono ni utaratibu, hawezi kwenda umbali mrefu. Angalia utaona ameingizia kwenye mkono, mkono ni kiungo unachotumia kufanya kazi, kwenye biblia imeandikwa " nitaibariki kazi ya mikono yako" . Sasa uwezo wa kufanya kazi umepunguzwa na matokeo yake uchumi wako utashuka.

Kifupi omba Toba kwaajili ya kilichosababisha ukashambuliwa
Tumia damu ya YESU kuinyunyiza kwenye mkono huo ulioshambuliwa kuing'oa hiyo roho na uharibifu wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom