Ndugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wa kazi zangu.
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
- Mkoba mkuu mmoja
- Mkoba wa kati
- Mkoba mdogo
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!
Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40. Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki.
Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY. Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!
Asanteni.
Roho ikishazaliwa haifi... Vilinge haviteketei kwa moto...kinachoungua ni visible objects tuuSasa kama umeamua kumrudia mola wako kwa nini unataka kurithisha watu mikoba yako ya kichawi? Si ungeiharibu tuu,ili wewe ubaki ma mola wako?
Uganga ni kuagua na kupiga ramli (sometimes chonganishi)Pengine Mimi sijui Kwani shughuli zako zinahusisha nini hasa ? ?
Sijaelewa hapa
"Kilinge kina kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga "
Huu si uamuzi rahisi hata kidogo na kama hujajiweka vizuri unaweza kudondoka.. Hii fani hubeba siri na viapo kama vya usalama.. Lakini kuna mahali na kuna wakati unafika mtu unaamua kuwa na mwanzo mpya..SI JAMBO RAHISI TRUST MEMbona hujataja makaburi yaliyo chini ya himaya yako Mkuu!? Mie sijui haya makitu wala sitaki kuua jua lakini niliwahi kusikia huwezi kumrithisha msiye na undugu naye ni lazima awe mwanao, mjukuu au ndugu wa damu hao wote huna Mkuu!? Na wengi mbona huwa wanafanya huu uharibifu wao uchawi hadi miaka 70 na hata kuendelea wakati wewe bado sana kufikia huko, kwanini UNAJIUZULU mapema kuna mchawi mwenzio jirani kakuzidi kete na maujanja?![]()

Huyo Mungu unayetaka kumtumikia ni Mungu yupi? Ni Allah au Yehova/Yesu??Ndugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wa kazi zangu.
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
- Mkoba mkuu mmoja
- Mkoba wa kati
- Mkoba mdogo
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!
Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40. Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki.
Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY. Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!
Asanteni.
Ukishaandika hivi halafu mwishoni unauliza unataka ujibiwe nini?Huyo Mungu unayetaka kumtumikia ni Mungu yupi? Ni Allah au Yehova/Yesu??
Maana hapo ndipo mnapoanzia kudanganywa na kuona kuwa nyie huo utaalamu wenu wa kiafrika sio wa Mungu, na miungu yenu ni ya shetani.
Naomba jibu la huyo Mungu unayetaka kumtumikia mkuu

Huu si uamuzi rahisi hata kidogo na kama hujajiweka vizuri unaweza kudondoka.. Hii fani hubeba siri na viapo kama vya usalama.. Lakini kuna mahali na kuna wakati unafika mtu unaamua kuwa na mwanzo mpya..SI JAMBO RAHISI TRUST ME
Bado nitabaki na mambo ya kiroho ili kujilinda ila kwasasa itakuwa ina a positive way...
Kuhusu makaburi BAK am sorry kaka siwezi kufunguka kila kitu hapa![]()
Yereuwiiii mtani wangu ningeshindwa huo mtihaniChangamoto kubwa sana hiyo mtani![]()