Recent content by madigida

  1. M

    Siloam church

    Usicho kijua ni sawa na uck wa giza. Nimefatilia huu uzi nimegundua wote walio changia hawana lengo la kutaka kujua ukweli.
  2. M

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Mimi niko Tanga natarajia kuhamia Mbeya. Nataka kufanya kilimo cha vitinguu saumu. Naomba msaada kujua ni wakati gani mzuri wa kupanda hili zao. Shamba langu liko Itewe nitashukuru kwa michango yenu.
  3. M

    Gharama za kilimo cha mahindi

    Habari zenu wanajamii, Nina plan ya kuanzisha kilimo cha mahindi maeneo ya Inyala Mkoani Mbeya. Nimepata ekari 20. Lakini sijawahi kilima mahindi mkoa huo. Kwa hiyo kabla sijaanza nilipenda kufahamu gharama za ulimaji kwa trekta kwa ekari moja uko vipi, gharama za wapandaji, palizi. Naombeni...
  4. M

    Kuchonga vinyago

    Natumaini wote muwazima, leo nazungumzia hili wimbi la wanao jitoa CDM kurudi ccm.Siku moja Niliwahi kumuuliza mchonga kinyago anafanyaje mpaka kupata sura kamili ya kile anchokichonga. Kwa mfano simba. Kilichoniacha hoi nijibu alilonipa, Kwamba akichukua gogo anachofanya nikuondoa kile...
  5. M

    Warioba (1994): Tanzania na Hatma ya Muungano

    Habarini wanajamvi. Nami nimeona nichangie kidogo kwa habari ya Muungano. Kwa mtazamo wangu naamini kwamba muungano ni imani kwamaana ya kwamba tunatakiwa kuamini kuwa tumeungana. Na imani ni tendo la rohoni nikitu kisichoonekana kwa macho wala hakishikik. Hata leo ukimwambia Nyerere na...
  6. M

    Hizi ndizo aina za simu(Brand) duaniani kote...

    Hoja yako yakwamba TECNO wamebase Africa inamlengo gani? Katika orodha yote hakuna simu iliyokuwa specified kwa ajili ya nchi fulani. Inaonekana wewe bado unakasumba ya uzungu na uarabu kwamba ni bora kuliko uafrica. Pole ndugu toka utumwani.
  7. M

    Tanganyika imerudi

    Ndiyo-tanganyika huru irudi
  8. M

    Topic za economics za high school

    Nashukuru kwa kunipatia orodha ya vitabu . Samahani naomba unijulishe vinapatikana wapi?
  9. M

    Topic za economics za high school

    Asante sana kwa msaada wako
  10. M

    Topic za economics za high school

    Habari zenu wana jamii. Naomba msaada wenu kwa mwenye ufahamu, nataka kujua ni topic gani za somo la uchumi zinazo fundishwa katika high school. Pia nitafurahi kama nitafahamishwa ni vitabu gani vinavyo faa au tumika. Msaada wenu ni muhimu kwa wakati huu.
  11. M

    Sylubus za advanced level secondary school

    Habari wana jamvi, naomba msaada kwa anaye fahamu sylubus kwa Combi ya H.G.E nataka kuandaa vitabu na materials nyingine kwa ajili ya maandalizi kujiunga na kidato cha tano.
  12. M

    Kuhifadhi mboga na matunda kwa muda kama wiki

    Heshima yenu manajamvi. Nimepata wazo la kufungua duka la kisasa la kuuza mboga mboga na matunda fresh mjini Tanga. Lakini changa moto nayoiona ni jinsi nitaka vyoweza kutunza hizo bidhaa bila kuharibika. Wenye ufahamu karibuni kwa ushauri. Asanteni.
  13. M

    Prof Nhonoli afariki - kimya! Wasomi hawathaminiwi

    Huyu ndiye Baba yake Dennis! OOh R.I.P prof
  14. M

    Mwesigwa-katibu mkuu tff

    Malinzi naye alikuwa yebo yebo kabla hajaukwaa urais wa TFF. Lakini hebu tuangalie imekkaaje! hawa jamaa wote wanatoka ng'ambo ya ziwa fulani wana jamvi hii iko vipi?
Back
Top Bottom