Jinsi ya kufanikisha malengo yako

jail

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
477
179
Habari wana JF
mwaka 2013 unaisha je umewahi kutathimini ni mambo mangapi umefanikiwa? mangapi umeshindwa? kwa nini?naomba niwashirikishe uzoefu wangu ktk maisha.
Jua hv hakuna jambo lolote linalotokea bila KUPANGA.kupanga ni kuamua unataka ufanye nini....na kama hujapanga ni vigumu kujua umefanikiwa au umeshindwa..kupanga kumenisaidia toka nikiwa olevel mpaka nikamaliza vyuo vikuu.na kufanikiwa ktk maisha yani Elimu,Kiuchumi,Familia nk.sasa narudi kwenye kiini cha uzi huu.tunapoingia mwaka 2014 fanya yafuatayo kama una lengo la kufanikiwa ktk maisha yako
1.PANGA
Hakikisha umepanga mambo ya kufanya hapa uwe na diary au note book ili uandike usije sahau kuna mipango ya mda mfupi hii inafanyika ndani ya mwaka na ya mda mrefu zaidi ya mwaka mfano kujenga kuoa nk
2.AMINI
Hakikisha unaamini kwamba utayafanikisha malengo yako kwa 100%
3.MUDA
Hakikisha unaweka mda wa kukamilisha malengo yango kumbuka wakati ni ukuta ukipita umepita haujirudii
4.TATHMINI(evaluation)
hakikisha unacheki mara kwa mara kama umefanya yale uliyopanga ainisha vikwazo kisha amua kuvikabili sio kuacha au kukubali kushindwa
5.USIKATE TAMAA
Hakikisha unazikabili changamoto sio kukimbia
kwa sababu utakuwa umejifunza makosa hivyo utakaporudia utafanya vizuri sana jua hata waliotengeneza ndege magari nk walikosea walirudia sana mpaka wakafanikiwa

Samahani ntarudi badaye
 
Habari wana JF
mwaka 2013 unaisha je umewahi kutathimini ni mambo mangapi umefanikiwa?
mangapi umeshindwa? kwa nini?naomba niwashirikishe uzoefu wangu ktk
maisha.
Jua hv hakuna jambo lolote linalotokea bila KUPANGA.kupanga ni kuamua
unataka ufanye nini....na kama hujapanga ni vigumu kujua umefanikiwa au
umeshindwa..kupanga kumenisaidia toka nikiwa olevel mpaka nikamaliza
vyuo vikuu.na kufanikiwa ktk maisha yani Elimu,Kiuchumi,Familia nk.sasa
narudi kwenye kiini cha uzi huu.tunapoingia mwaka 2014 fanya yafuatayo
kama una lengo la kufanikiwa ktk maisha yako
1.PANGA
Hakikisha umepanga mambo ya kufanya hapa uwe na diary au note book ili
uandike usije sahau kuna mipango ya mda mfupi hii inafanyika ndani ya
mwaka na ya mda mrefu zaidi ya mwaka mfano kujenga kuoa nk
2.AMINI
Hakikisha unaamini kwamba utayafanikisha malengo yako kwa 100%
3.MUDA
Hakikisha unaweka mda wa kukamilisha malengo yango kumbuka wakati ni
ukuta ukipita umepita haujirudii
4.TATHMINI(evaluation)
hakikisha unacheki mara kwa mara kama umefanya yale uliyopanga ainisha
vikwazo kisha amua kuvikabili sio kuacha au kukubali kushindwa
5.USIKATE TAMAA
Hakikisha unazikabili changamoto sio kukimbia
kwa sababu utakuwa umejifunza makosa hivyo utakaporudia utafanya vizuri
sana jua hata waliotengeneza ndege magari nk walikosea walirudia sana
mpaka wakafanikiwa

Samahani ntarudi badaye

Na wewe umeanza mchezo kama wa Tembosa wa kuishia njiani?
 
Last edited by a moderator:
Ukiona mtu anaunga sana mkono huu uzi ujue ana weekness katika kupanga na kutekeleza mipango yake coz katika huu uzi hakuna jipya hata mtoto wa shule ya msingi anafaham kama una utayali utaishia kusoma ila utekelezaji ni bure!ni sawa na kwenda kwenye semina za ujasiliamali halafu utekelezaji ni O.
 
Safi sana!
Hizi uzi kam huu ndizo zinazotakiwa kutawala na sio zile za..................
 
Back
Top Bottom