Kuhifadhi mboga na matunda kwa muda kama wiki

madigida

Member
Jan 30, 2013
40
2
Heshima yenu manajamvi. Nimepata wazo la kufungua duka la kisasa la kuuza mboga mboga na matunda fresh mjini Tanga. Lakini changa moto nayoiona ni jinsi nitaka vyoweza kutunza hizo bidhaa bila kuharibika. Wenye ufahamu karibuni kwa ushauri. Asanteni.
 
Weka kwenye jokofu.
 
Tayarisha chumba chako cha kuuzia hizo mboga, then funga AC mbili ambazo zitakua zinahifadhi ubaridi humo, kuna mboga zinazohifadhika hata kwa wiki mbili kwa style hii.......Ila mboga zinazoharibika upesi zinahitaji wateja wa upesi pi, hivyo ni vema ukajipanga na swala la soko pia.
 
Inatakiwa ujue kwamba biashara hiyo ni nzuri maeneo yasio kuwa na hiyo bidhaa, Tanga haina uhaba wa matunda, sijui kwa mboga, Mfano kw Mwanza hakuna anaye weza kununua samaki wa kwenye fridge wakati wa fresh wapo. Hivyo fanya utafiti kwa sababu ili ifanikiwe ni lazima kuwe na demand kubwa sana ya matunda Tanga na supply yake ni ndogo sana, je iko hivyo?
 
Back
Top Bottom