Acha kumtisha mwenzio. Laana gani karithi? mimi hapa mkatoliki kanisa aliloacha Yesu Kristu, kanisa la kitume. Kanisa pekee lilokusanya vitabu na kuita bibilia. Kanisa pekee lenye historia na tafsiri moja ya bibilia. Kanisa pekee ambalo unaweza kulitrace kutoka kwa Yesu na wanafunzi wake. Kanisa pekee lisilotafsiri neno kwa matakwa yake. Kanisa pekee ambapo Yesu anaabudiwa inavyostahili. Kanisa pekee ambapo, Yesu yupo. Kanisa lisilokosea mafundisho kwa kuwa Roho wa Mungu ni mwalimu wetu. Kanisa pekee lisiloanguka miaka 2000, kanisa pekee lenye Ekaristi Takatifu mwili na damu ya Yesu kama alivoagiza. Kanisa pekee la Ulimwengu mzima. Kanisa Pekee linalochukiwa na wasio na dini, waprotestanti, wasabato, waislamu, freemason na shetani kwa ujumla. Kanisa pekee lenye vyuo vikuu vingi duniani, kanisa pekee lenye Kutoa misaada kwa maskini kuliko taasisi yoyote duniani. Kanisa pekee la Kitume. Kanisa pekee lenye kweli yote. Kanisa pekee linalochukiwa na watu wasiolijua. Kanisa pekee linalopinga Ushoga milele na wazi. Kanisa pekee linalokataa abortion wazi wazi milele. Kanisa pekee lenye sheria zisizopingana na Mungu wala neno lake. Kanisa pekee la Roho Mtakatifu. Kanisa pekee lililobarikiwa na Mungu. Kanisa lilosheheni miujiza inayodhibitika, lakini haiitumii kama slogan za marketing. Kanisa linalosambaza injili kwa matendo.. siloam what? ndo mnavowatisha waumini wenu mara laana mara nini? kuaribu familia za watu , kugombanisha ndugu, umbumbumbu , kutajirisha viongozi wenu wachache. wajin.ga wakubwa nyie brainwashed na jiki. Hivi kweli mnaamini hicho kijikundi nyie ndo wenye kujua kuhusu neno la Mungu? think again. study the catholic faith and come again. ibada za masanamu, kuomba watakatifu nk...Niulize mimi nikueleze hapa hapa.Cowards. kazi kutia watu hofu.