Kuchonga vinyago

madigida

Member
Jan 30, 2013
40
2
Natumaini wote muwazima, leo nazungumzia hili wimbi la wanao jitoa CDM kurudi ccm.Siku moja Niliwahi kumuuliza mchonga kinyago anafanyaje mpaka kupata sura kamili ya kile anchokichonga. Kwa mfano simba. Kilichoniacha hoi nijibu alilonipa, Kwamba akichukua gogo anachofanya nikuondoa kile kisichofanana na simba kinacho baki ndiyo sura ya simba.
Kwamfano huu wanaotaka CDM hawafanani na CDM wale wanaobaki ndio wenye sura ya CDM. kARIBUNI
 
Tujiulize mimi na wewe mtu anatoka upinzani na kuhamia ccm je kile alichokuwa anakigania wakati yuko upizani kimebadilika? Hapa ni njaa tu hakuna lingine
 
Back
Top Bottom