huyu jamaa ni mshabiki kweli, badala ya kuja na mada ya unemployment ya TZ,anakuja na unemployment ya wahitimu wa UDOM,..nakushauri ukatangaze kipindi cha jahaz la clouds fm,coz hauna tofauti na kibonde,tabia zenu za kucoment out of nowhere,..TALK ABOUT RATE OF UNEMPLOYMENT IN TZ AND THEN U CAN...