Wana JF, ni halali kweli UDOM kuitwa chuo cha kata?

tumechoka na mada za UDOM kuwa chuo cha kata au kutokuwa chuo cha kata,this topic has been discussed over n over.acha kutulisha maharagwe yaliyochacha
 
Inaelezwa kuwa ni chuo pekee kilichokuwa wazi kutumika kwa manufaa ya ccm,lakini kama hiyo ndiyo sababu je yatosha kukiita chuo cha kata? kwani kutofautiana mitizamo,sera ndiyo iwe sababu ya chuki.wana jf turuhusu mawazo tofauti lakini yawe ya kujenga.
 
Suala siyo kutofautiana kimtazamo bali ni jinsi wanatauluma wanavyoendesha vitu katika viwango vya makada wa siasa. chukua mfano wa chuo kumlipia gharama za fomu ya kugombea urais mgombea wa chama fulani au kumtunuku shahada ya heshima mtu fulani. Katika uhalisia wa kawaida kuna vitu vinatakiwa viwe katika ngazi ya wanataaluma ni vingine vya wanasiasa wa kawaida.
 
cha kata ndio toka kianzishwe ni miaka 3 kishatoa hadi PHD japokuwa sielewi sifa ya chuo kutoa PHD za kisiasa.
 
kikwete kala phd (pure head damage) yake pale nyie mnaita chuo cha kata sio...kikwete ataamulu majeshi yawachape virungu, mabomu,risasi za moto km arusha....hamjui kuwa ni mzee wa visasi?...........km hamuamini kawaulize babu seya na yule jamaa wa bot anaeozea mahabusu
 
Sasa hv kimeanza kubadilika wana JF, Tupeni ushauri na sapoti. Tunawategemea sana.
 
wewe utakuwa ni ccm, kwani moto uliopo hapa , ila sikatai kama umeamua kukipa hili jina, kwani tunasema jina halina uhusiano na kitajwa
 
walimchangia waliona anafaa. Sasa migomo ya nn? Wangemstahi tu.they didnot opt for changes.mungu hamfichi mnafiki
 
Inaelezwa kuwa ni chuo pekee kilichokuwa wazi kutumika kwa manufaa ya ccm,lakini kama hiyo ndiyo sababu je yatosha kukiita chuo cha kata? kwani kutofautiana mitizamo,sera ndiyo iwe sababu ya chuki.wana jf turuhusu mawazo tofauti lakini yawe ya kujenga.

Mmmmmhhhhh, thread inanuka!
 
Inaelezwa kuwa ni chuo pekee kilichokuwa wazi kutumika kwa manufaa ya ccm,lakini kama hiyo ndiyo sababu je yatosha kukiita chuo cha kata? kwani kutofautiana mitizamo,sera ndiyo iwe sababu ya chuki.wana jf turuhusu mawazo tofauti lakini yawe ya kujenga.

Chuo kilikuwa kipya, hakijatoa graduates ambao wataishia kutafuta kazi bila mafanikio. Wengi wa hawa wanafunzi wa mwanzo walikuwa wa majaribio hivyo viwango vyao vya kuwa na uwezo wa elimu ya chuo kikuu ni vidogo na hivyo kuona kama wamependelewa na serikali ya CCM na baada ya kumaliza watapendelewa nafasi za kazi pia. Pale chuo kitakapoanza kuchukua vichwa vyenye uwezo wa kufikiri vyenyewe ambavyo vingi vitaona uncertain future baada ya elimu na kugundua kuwa uncertainty hiyo inasababishwa na greedy leaders (CCM) ndipo watajua kuwa CCM na serikali yake ni adui namba moja wa mafanikio yao katika nchi huru wao wakiwa kama wasomi.
 
Waache unafiki, walichanga hela za kumchukulia fomu leo wanalialia nini?
Hawana adabu!!!!!! Tena wanafiki wakubwa sana, hawatutendei haki watanzania tulio
masikini. Walijipendekeza sana sasa waonje joto ya kujitia kifrontifronti. Wembe waliolilia
umewakata sehemu nyeti.
Chuo cha KATA HICHO
 
Akili sio zako kwani unatumia za kuazima, ukikua utaacha mwone kwanza hata uwezo wa kufikiria tu hauna!
 
Waache unafiki, walichanga hela za kumchukulia fomu leo wanalialia nini?
Hawana adabu!!!!!! Tena wanafiki wakubwa sana, hawatutendei haki watanzania tulio
masikini. Walijipendekeza sana sasa waonje joto ya kujitia kifrontifronti. Wembe waliolilia
umewakata sehemu nyeti.
Chuo cha KATA HICHO

we mbona si mwelewa ka fisi
 
Hivi Angechangiwa Mgombea Wa CHADEMA Mngeongea!? Walimchangia Jk sio chuo kama Chuo ila ni wanachama wa CCM Ambao wapo UDOM
 
Back
Top Bottom