Recent content by lyon

  1. L

    JamiiForums Tanzania Jibu la prof Sheriff kwa prof Tibaijuka

    Kama kweli mafuta yapo kwenye mwambao wa visiwa vyao, hakuna sababu ya kuvunja muungano mpaka tuyanyonye kwanza
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mh Habib Mchange unahujumiwa Kibaha mjini?

    Embu msomeni mtoa mada kwa makini kabla hamjakurupuka kujibu hoja, kuna watu humu mnapenda kujibu jibu hoja bila kutafakari alichosema mtoa hoja au ndio kuoengeza idadi za post.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kikwete akutana na uongozi wa CHADEMA Ikulu; Dr. Slaa ndani

    Hata mimi kwangu zimegoma kufunguka au mpaka utumie OS fulani
  4. L

    JamiiForums Tanzania Best movies

    UNTHINKABLE ya Samuel Jackson
  5. L

    JamiiForums Tanzania ona janja ya chazbaba.

    Lakini watu wanajaa nimeishuhudia j'tano hii Bilicanas.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya kamati ya CHADEMA na Jakaya kwa ufupi

    umenichekesha
  7. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa aiteka CC na NEC...

    mimi napita tu nitarudi baadae
  8. L

    JamiiForums Tanzania Polisi: Maandamano ya Novemba 26 marufuku!

    mateso tunajitakia wenye kwa umbumbu wetu
  9. L

    JamiiForums Tanzania Polisi: Maandamano ya Novemba 26 marufuku!

    yale yale niliokuwa nawaza ndio hayo sasa al-shabaab ishakuwa sababu
  10. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Wakining'oa NEC nitaeleza ukweli kuhusu Richmond

    Ushauri wangu aendelee kukaa kimya maana atazidi kuishusha hata hiyo hadhi yake kidogo iliyo bakia
  11. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Wakining'oa NEC nitaeleza ukweli kuhusu Richmond

    hajioni wasafi wanajijua kama wameisha chafuka sema kuchafuka kwao kuna tofautiana
  12. L

    JamiiForums Tanzania Walimu waongoza kwa kuolewa ukilinganisha na sekta nyingine

    hicho si kigezo sahihi cha kupima ulipaswa uwaulize kwani wengi sikuhizi wanavaa pete za ndoa kama fasheni
  13. L

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kukomfiga modem nitumie bure wadau

    hebu tuacheni mambo ya ujanja ujanja modem zipo zinauzwa ww unataka vya bure (wizi). Hata mafisadi wanao imaliza nchi hii walianza hivihivi ndio nyie mkija kuwa viongozi mtauza nchi kwa kupenda vya bure
  14. L

    JamiiForums Tanzania Amatus Liyumba kujiunga na TLP au NCCR Mageuzi

    Bwana Liyumba karibu kwenye chama chetu cha TLP utuletee mipasa uliyo iba BOT tuimarishe chama chetu
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mashishanga chukua mtoto wako CHADEMA-Mbowe

    kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake kwahiyo na mzee mashishanga katoa maono yake kwa upeo wake
Back
Top Bottom