Polisi: Maandamano ya Novemba 26 marufuku!

Muoga tu na ni kibaraka wa CCM, hana lolote jipya na ni muoga wa changamoto,watu wa namna hii hatuwataki katika nchi hii maana ni hatari kwa usalama wetu, kama leo anawaogopa al shaabab sasa kwa nini asijiuzulu tu uaskari?

Ndio taabu ya askari wetu wote wanaendeshwa na wanasiasa badala ya kujali misingi ya haki,sheria na taratibu zinazoendesha nchi.
 
juzi wakati jk anaoengea na wale wazee alshabaab wangeweza kupiga..huyu kova anatumika sana........
 
maandamano yaliyotaka yafanywe na asasi zisizo za kiserikali kudai marekebisho ya mswada wa katiba yamekwaa kisiki kikuu cha alshababu, mpaka nawasilisha nikuwa kutokana na tishio la alshabab hakutakuwepo kwani ni gharama na kazi kubwa kuhakikisha usalama katika maandamano yao.

atakaye andamana kukutana na nguvu ya dola.

naomba kuwasilisha

my take:

Mbona mkuu wa kaya alikaa na wazee

nec-ccm mbona wamekusanyika,kama wanao askari wa kutumia nguvu kuyazuia,kwa nini wasiwatumie hao kuyalinda yafanyike.hesabu rahisi huitaji kuwa na form six kufikiri
 
Kova anajua al shabaab watakuwepo kwenye maandamano, kwanini asitumie mwanya huo kuwakamata?

tena ingekuwa trick maridawa, angefanya kama alivyokamata mtoto wa gaddafi,

walioandamana arusha juzi kumpokea lema al shaabab walikuwa likizo, walipoandamana machinga mbeya juzi al shaabab walikuwa likizo, mkusanyiko wa kikao cha ccm dodoma al shaabab wapo likizo, jk kukutana na wazee wa ccm sabasaba ground tena huko temeke al shaabab walikuwa likizo! mikusanyiko inayoendelea kuadhimisha miaka 50 ya uhuru mamboleo al shaabab wapo likizo, siku ya tar. 9 dec uwanja wa taifa watakuwa likizo....lakini tarehe 26 maandamano ya wananchi kupinga utaratibu ulotumika kuandaa mswada wa katiba al shaabab watakuwa kazini...well n' good. msg sent!
 
huyu kova anatumika kisiasa.......hna lolote mjinga mkubwa
 
mo2.jpg

Magamba kazini
 
Kova anazidi kutupa ujasiri wa kujitoa muhanga.
kama mbeya,mwanza na arusha waliweza kuandamana na kuvumilia mabomu ya machozi na maji ya upupu, kwanini dsm tushindwe, wakati sisi ndio watoto wa mjini?
 
Hakuna nchi hata moja duniani ambako eti raia wanaomba kibali polisi kuandamana!!! hivi vitisho vya alshabab ni janaja tu ya kuzuia watu wasiandamane.....ila tz imezidi.....watu wamezidi kufanywa mambuzi..........kama ni haki kikatiba kuandamana haiitaji kibali polisi wala kokote.........ni jukumu la polisi kuwalinda raia pale wanapoandamana n si kuwazuia kuandamana.......kama watu wangekuwa wanazuiliwa kuandamana duniani kusiingekuwa na mapinduzi ya nguvu za umma kokote kule......hata juzi egypt walipoandamana kumtoa mubarak......hata jeshi zima la nchi(wachilia polisi) walitoka ili kuwalinda wananchi na si kuwazuia.........ni tz peke yake kuna huu upuuzi.....ni kwa vile wa tz wamefanywa mambuzi kwa miaka yote hii...na kama hali hii itaendelea nchi hii kamwe haitabadilika......naapa..........
 
Maandamano yaliyotaka yafanywe na asasi zisizo za kiserikali kudai marekebisho ya mswada wa katiba yamekwaa kisiki kikuu cha alshababu, Mpaka nawasilisha nikuwa kutokana na Tishio la alshabab hakutakuwepo kwani ni gharama na kazi kubwa kuhakikisha usalama katika maandamano yao.

Atakaye andamana kukutana na nguvu ya dola.

Naomba kuwasilisha

My Take:

Mbona mkuu wa kaya alikaa na wazee

Kwa nini polisi wanatumia nguvu jingi kuliko akili?
Waacheni waandamane nyie wapeni tu ulinzi kuwakataza bila sababu za msingi udikiteta wa serikali. Kibali wanaomba wapeni
 
jamani na zile siku mia alizopewa mkuu wa kaya na kikosi 2858 zinazidi kuyoyoma hivyo.....
Yaani kama ni movie ndio inaanza
 
Back
Top Bottom