Naomba msaada wa kukomfiga modem nitumie bure wadau | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada wa kukomfiga modem nitumie bure wadau

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by LJ BLOG, Oct 18, 2011.

 1. LJ BLOG

  LJ BLOG Senior Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Kuna jamaa yangu mmoja anatumia modem ya tigo ambayo ina miezi kama mi3 hivi anatumia bure bila kulipia au kukatwa hata senti sasa naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia na mimi nika configure ili na mimi nitumie bila kukatwa hata shilingi kwwenye modem yangu ya airtel
   
 2. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Kuna line za tigo zinauzwa unatumia free it aint that easy as u think kwa kuconfigure tu. Coz wanazohack hizo line za tigo piga ua hawakuambii how they do it. Lakini lazima uwe na sim card reader a certain software to hack the sim card and also som inside information za tigo. So labda kama unamkwanja nunua hzo line tu. Tafuta thread za humu kuna watu wanauza ukikosa kabisa ni pm.
   
 3. S

  ShockStopper Senior Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 112
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Ni vizuri kijizoeza kulipia unachotumia. Kuna wakati unaweza lazimika kutumia ujanja inapokuwa haikwepeki, lakini rate za sasa hivi mbona ziko poa tu, kwa nini usipange bajeti ya kulingana na matumizi yako?
  Kwa upande mwingine, watumiaji wa huduma wanaolipia wakiongezeka, inaweza kusaidia rate zishuke zaidi. Kuna uwezekano bei ya umeme kuwa juu inachangiwa na kuwepo watumiaji wengi tena wenye matumizi makubwa ( viwanda, wachomelea grill, wasaga nafaka n.k.) wanaojiunganishia kiujanja ujanja na kukwepa kulipa bill sitahiki. Hivyo Tanesco wanapotaka kufidia gharama za umeme unaopotea, wanatupandishia bei.
  Hivi kila mtu akitaka kuwa mjanja, tutaishia wapi? Tafakarini!
   
 4. LJ BLOG

  LJ BLOG Senior Member

  #4
  Oct 19, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  How much hizo modem mi nataka ya airtel kama zipo niambie mkuu pamoja na bei yake and then niangalie bajeti halafu nikushtue au sio mkuu
   
 5. LJ BLOG

  LJ BLOG Senior Member

  #5
  Oct 19, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  hhow much inauzwa mi nataka ya airtel mkuu kama zipo niambie bei yake nione kama pesa hiyo ninayo au nijipange kwa bei
   
 6. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Sio modem ni line za Tigo. I repeat Line za Tigo... Tembelea apa
   
 7. baghozed

  baghozed JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 515
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mi nadhani mtu rahisi wa kukusaidia ni huyo jamaa yako coz atakwambia alichofanya.
   
 8. l

  lyon Member

  #8
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  hebu tuacheni mambo ya ujanja ujanja modem zipo zinauzwa ww unataka vya bure (wizi). Hata mafisadi wanao imaliza nchi hii walianza hivihivi ndio nyie mkija kuwa viongozi mtauza nchi kwa kupenda vya bure
   
 9. M

  Mputi Member

  #9
  Oct 22, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Guys its nat simple, hapa lazima ujue sum internal info za tigo, wanazozichakachua ni wa2 hao hao wa tigo, mi ninayo inapiga kazi mwanzo mwisho, mwanzo zilikuwa 10,000 tu bt now 50,000 wateja wameongezeka
   
 10. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  mkuu, what about the speed? i mean downloading speed yake?icje ikawa mambo ya 60kb au 15kb!!! inafika 300kb downloading speed au zaidi?
   
 11. mgeni3

  mgeni3 JF-Expert Member

  #11
  Nov 29, 2011
  Joined: Jun 4, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hizo line bado zipo kaka?
   
 12. mgeni3

  mgeni3 JF-Expert Member

  #12
  Nov 29, 2011
  Joined: Jun 4, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kaka mambo vp? Hizo line free net ya tigo bado zinapatikana?
   
Loading...