Recent content by Lutty mk

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mboga mboga uhai wa Wilaya ya Lushoto

    Kuanzia laki tatu unaweza kulima robo heka
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kilimo ni biashara pekee inayolipa kwa 100%

    No one is crazy
  3. L

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wako nasaha juu ya kufikia malengo ya kuku elfu 5 ndani ya mwaka mmoja na miezi sita

    Vifaranga vya chotara km utaamua kununua nenda akm glitters unapt vifaranga F1
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ahsante sana
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Clean placement, I am a champ for sure
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wakuu nmelamba asali. Namshukru sana Mungu, kuweni na uvumilivu tu maana ni kweli kuna wakati unakata tamaa kbs.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Jamn IT wa Utumishi wameacha kazi nini😌
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Duh pole sn aisee
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ukipata kazi serikalini na ukaamua kutokwenda

    Ninachokiwaza kuwa baada tu ya kuona umepata placement lakini ukaamua kuandika barua kuwa hutoweza kwenda kufanya kazi kabla hata ya kupata hiyo cheque number. Maana cheque number mpk ufate kamrorongo flani ndio uipata
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ukipata kazi serikalini na ukaamua kutokwenda

    Pole mkuu naona umepaniki
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ukipata kazi serikalini na ukaamua kutokwenda

    Wapendwa habari zenu Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Wanajamvi hivi ikitokea umepata kazi lakini kwasababu fulani ukahitaji kutokwenda kazini. Je ni hatua gani unatakiwa kuzifuata ili uwe salama hata baadae utakapoomba kazi serikali uwe eligible kupata kazi?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wapendwa hapa tusubiri after pasaka. Kwahyo turelax tusherekee hii sikukuu vzr mapambano yataendelea
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wow hongera sn
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Watu ni wengi sn nafkr natamn watoe pdf moja kubwa safi maana kwa kidogo naona km itachukua muda sn maana kuna post za watu 100.n kada ni nyingi pia
Back
Top Bottom