HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwa porojo tuu, aaah! Si haba haujambo. Mungu akuone maana inaonesha umejaa hasira sana.
Uncle tulia , Sema Nina mpango waku purchase workstation yenye nguvu Kwa ajili ya vitaasisi kama vyakwenu
 
Uwiiii jamani asante sana Mungu wangu[emoji120].

Guys kumbe pdf la juzi nilipata yani leo kuna mtu kanipigia ndo ananiuliza naenda lini dom kufata barua.

Pdf ikitoka i always search for kada yangu only but kumbe nimepangiwa kitengo kingine ambacho kinarelate na nlichofanyia interview.(but a bit higher[emoji39])

Am still in shock[emoji2296]
Wow hongera sn
 
Back
Top Bottom