HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hili la kufaulu oral au kutokufaulu sidhani kama lina uzito sana hapa, hoja yangu imelala hapa, kwa hizi shortlists zinazoendelea kuwa cancelled kwa kivuli cha database, sio sawa, zikiendele hivi, kuna graduate wataathirika, watakosa haki yao ya kugombea ajira katika taasisi za umma.

Sitaki kuwa mbinafsi, kujiangalia mimi tu, lazima equal consideration iangaliwe kwa hawa fresh graduates pia.
Hao graduates unaowaongelea na wenyewe utafika wakati wao wa kua kwenye database
 
Hii psrs inahitaji kufanyiwa marekebisho makubwa mnoo, ikiwemo marekebisho ya sheria yake mama.
Palacement za PSRS huwa ni za mafungu mafungu, yaani placement za utumishi -Secretariat mi za mafungu mafungu kama kinyesi cha mbuzi😁😁.
Nafasi za mwakajana za watu wa chuo hapa tuki toa wale wa TRA ambao waliitwa fasta maana wengi wao watoto wa wakubwa wao waliitwa chapu, sasa hizi za LGA na MDA ni kama kinyesi cga mbuzi leo kumi kesho saba hapo ni watu 1905 na hawaja timia wote.Matokeo wanayo tangu january na novemba vibali vipo ila wanaitwa kwa mafungu inamaana hata mifumo ya placement za haraka hawana tamisemi watu 9800 wanaitwa tarehe moja na mara moja kumbuka nao wanadocument ila process zao sio kama hao wajuba, zina tangazwa nafasi 10 zinachukua miezi 9 mpaka mwaka kuitwa job wakati kazi hiyohiyo office zingine inatumi one month huo mdo uzembe tunao kataa, watu wanafanya kazi kama wanacheza kombolela.
 
Mbona Ishu ya kuita watu wengi Oral kuzidi kanuni yao(sheria) Utumishi walioandika hulisemi ila kwenye kipengele cha mashaka ya Data base yapo??
Tujenge hoja....
Bila shaka huyo atakua ni graduate ambae hajawahi ingia oral
 
Yaani ww waziri mwenyewe alisema huo utaratibu ni mzuri wa kanzi data ww unaleta mambo ya good, better best bro huelewi haya maisha sio kwamba walio lamba asali wote ni best sana haya maisha ni all about lucky, yaani kuna ndondokela zipo, kaka kuna kazi zinatangazwa na zina watu tayari,usiongee ujinga! Unajua kama in 2021 kuna ule usaili uli vuja wa TRA watu tumeenda Dodoma hatujui kitu na watu wana maswali yote sasa hapo utasema kuna goog better best.
Hizi saili zina mambo mengi kaka unaweza ingia oral hata 60 nausipate kazi hii nchi, acha watu walilie kanzi data siku wakikumbukwa sawa.
Sasa kama unaamini kuwa kazi zinatangazwa na zina watu tayari, hapa unapiga domo kijinga tu kusubiria placement la database?
 
Huyo wa 2022 akisubiri mwaka mmoja kunashida gani, hivi unajua kuna watu tangu 2015,2016,2017,2018,2019,2020,2021 wapo mtaani na hawana kazi wanapiga usaili na wanaingia oral sio kama wanafeli nafasi ndio hamna ,hizi post mnazo ona Mama Samia ndio ametangaza saiz watu miaka ya nyuma wame kaa sana benchi sasa unazungumza graduate wa 2022 huyo hata aki kaa mwaka na mwakani akiomba akapata sio mbaya wafikirie wenzako wa 2018 , halafu wa 2022 anakuja kuajiliwa heshima hamna hapo.
Sema vile utaratibu wetu haupo sawa kanzi data ina umuhimu sana. Ww inaonekana umegraduate miaka ya hivi karibuni ngoja upige saili kazaa ndo utaelewa vizuri tunacho ongea.Data base ni sheria na ni muhimu kwani ukichukua watu kanzi data, unaisafisha watu wanapata ajira unaanza fresh, sio unatangaza watu wanapiaga paper wanafaulu, wanarudi tena, kila siku huoni kama sio sawa waluo anzisha kaznzi data wali fikiria hayo.
Inakuwaje unawapa umuhimu huu graduate kuanzia graduate wa 2015, vipi wale wa tokea 2014 kurudi nyuma?
 
Palacement za PSRS huwa ni za mafungu mafungu, yaani placement za utumishi -Secretariat mi za mafungu mafungu kama kinyesi cha mbuzi😁😁.
Nafasi za mwakajana za watu wa chuo hapa tuki toa wale wa TRA ambao waliitwa fasta maana wengi wao watoto wa wakubwa wao waliitwa chapu, sasa hizi za LGA na MDA ni kama kinyesi cga mbuzi leo kumi kesho saba hapo ni watu 1905 na hawaja timia wote.Matokeo wanayo tangu january na novemba vibali vipo ila wanaitwa kwa mafungu inamaana hata mifumo ya placement za haraka hawana tamisemi watu 9800 wanaitwa tarehe moja na mara moja kumbuka nao wanadocument ila process zao sio kama hao wajuba, zina tangazwa nafasi 10 zinachukua miezi 9 mpaka mwaka kuitwa job wakati kazi hiyohiyo office zingine inatumi one month huo mdo uzembe tunao kataa, watu wanafanya kazi kama wanacheza kombolela.
Hapa umepuyanga tu, sijaona hata maana ya kuni-quote.
 
Hao graduates unaowaongelea na wenyewe utafika wakati wao wa kua kwenye database
Hayo matangazo ya kazi tu yanawabagua tu wakiwa na transcript, once, vyeti vimetoka wana haki zote kuomba ajira na kushiriki katika kushindania nafasi, sheria na kanuni ziko wazi ikiwa tu watafungana alama katika mchakato, wewe ni nana upange kuwa wasubiri kuanzia mwaka mmoja zaidi?
 
Mbona Ishu ya kuita watu wengi Oral kuzidi kanuni yao(sheria) Utumishi walioandika hulisemi ila kwenye kipengele cha mashaka ya Data base yapo??
Tujenge hoja....
Hiyo uiseme wewe, wengine pia watoe maoni yao. Ianzishe hiyo hoja, watu wajenge hoja hapa.
 
Hayo matangazo ya kazi tu yanawabagua tu wakiwa na transcript, once, vyeti vimetoka wana haki zote kuomba ajira na kushiriki katika kushindania nafasi, sheria na kanuni ziko wazi ikiwa tu watafungana alama katika mchakato, wewe ni nana upange kuwa wasubiri kuanzia mwaka mmoja zaidi?
Na wewe ni nan had ukate uwepo wa database iliyopo kisheria
 
Kama wenyewe tu, hawasimii hiko kifungu, unaniuliza mie ni nani kutokubaliana na mtazamo wa database? Unataka nikushawishi ukubaline na mimi au unishawishi nikubaliane unachoamini wewe?
 
Mimi database niliitumia kama motivation ya kwenda kwenye interview ya kwanza, ila baada ya kukutana na wajuba wengine wamepiga written kama 11 hiv na kuingia oral mara 7 wengine mara 4 wakawa wanaikandia vibaya existence ya database..Nikajua hatima yangu ipo tu kwa Sir God na yeye wakati wake ndo sahihi! Nikafanya my best bila kumsahahu Mungu wangu! Ushauri ni take ur past and present challenges for the better future!kulalama hakusaidii na siasa huna ushawishi wa kiihivyo ukoseshee watu usingizi. Wana wa Psrs ni wasikivu kwa ukomo wao, hata iyo interview nilitemwa initially tena ilianza niliyoipenda haswa piga sana simu mara inatumika wakaja kupokea wakanikazia nilichofanya nikatumia English ya darasa la saba A nikacompose email kwa Katibu, wakarekebisha nikaitwa kwenye interview
Nimesoma ila sijaelewa ulitaka kumaanisha nini mkuu
 
Hili la kufaulu oral au kutokufaulu sidhani kama lina uzito sana hapa, hoja yangu imelala hapa, kwa hizi shortlists zinazoendelea kuwa cancelled kwa kivuli cha database, sio sawa, zikiendele hivi, kuna graduate wataathirika, watakosa haki yao ya kugombea ajira katika taasisi za umma.

Sitaki kuwa mbinafsi, kujiangalia mimi tu, lazima equal consideration iangaliwe kwa hawa fresh graduates pia.
We unaangalia fresh graduates vp na wale waliosugua bench for five years ulijua wanaishije na hao freshers acha wasugue mda wao ukifika watapata.
Mi nasikitika sanaaa kuona database hayupo candidate Ambae kamaliza miaka ya nyuma maana wao ndio wangeanza then sisi wengine tufate ila kama hao wengine wapo database wapangiwe tu suala la kuangalia mbele itakuwaje kwani uko nyuma ulishaangalia ilikuwaje? Acheni kutetea ayo mambo watu wanamaisha magumu mtaani na ukiangalia ni mtu aliekuzid umri, japo elimu mko sawa. It's so painful
 
Na wewe ni nan had ukate uwepo wa database iliyopo kisheria
Kaka mti mnene achana naye usipoteze muda kucompromize nae kumbuka humu ndani tupo kila design kunajobless ambao maisha safi hata madeni hana familia zao zimejitosheleza, kuna wapambanaji km sawadogo anafanya kibarua na kuna kama hao ambao hata njaa haijui ya hata vidonda vya tumbo hana, mtu anasema kbs hajawahi hata kuwa na akaunti utumishi, kiukweli mti mnene nitakudharau ukiendelea kujibizana naye. Siku zote FIFO ni mfumo wa haki, tutapiga kelele kuhusu database Mpaka kieleweke.
 
Mimi database niliitumia kama motivation ya kwenda kwenye interview ya kwanza, ila baada ya kukutana na wajuba wengine wamepiga written kama 11 hiv na kuingia oral mara 7 wengine mara 4 wakawa wanaikandia vibaya existence ya database..Nikajua hatima yangu ipo tu kwa Sir God na yeye wakati wake ndo sahihi! Nikafanya my best bila kumsahahu Mungu wangu! Ushauri ni take ur past and present challenges for the better future!kulalama hakusaidii na siasa huna ushawishi wa kiihivyo ukoseshee watu usingizi. Wana wa Psrs ni wasikivu kwa ukomo wao, hata iyo interview nilitemwa initially tena ilianza niliyoipenda haswa piga sana simu mara inatumika wakaja kupokea wakanikazia nilichofanya nikatumia English ya darasa la saba A nikacompose email kwa Katibu, wakarekebisha nikaitwa kwenye interview
umeandika nn mkuu??

chronic depression itatumaliza wengi
 
Jamn napenda kuuliza nimefanya interview NMB direct sales officer nikafanikiwa kuitwa kituo cha kazi wiki iliyopita Tabora. wakaniambia nitafute baadhi ya documents kama vile barua kutoka serikali ya mtaa ninapoishi, na nicheki afya yangu nipate barua kutoka kwa daktari. Yote ayo niliyafanya ila nimekuja kushtushwa kwamba leo ninatakiwa kusaini mkataba wa kazi wananiambia kazi sina kwakuwa wamenifatilia wakagundua nina deni nyuma kutoka mtandao wa Tigo wa mwaka jana March sikulipa kwaiyo kazi wameifuta. Nimejaribu hata kubembeleza na kuilipa apo apo lakini wamekataa katakata. Daaaaah AISE nimeumia sanaaaaa. Ushauri tu kwa vijana wenzangu hizi financial institutions kama CRDM, NMB, NBC, TCB wameanzisha huo mfumo wakutrack line yako kupitia NIDA number yako then wanaangalia vitu vingi sanaaaa hasa ishu za kipesa. Kwaiyo kama ni mkopaji sugu hakikisha pesa ya watu unairudisha maana unaweza jikuta hata interview mtu huitwi kumbe ni mambo kama ayo.
 
Duh pole sn aisee
 
Back
Top Bottom