HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu Naomba kueleweshwa.. changamoto za kufanya kaz huko halmashauri tukitoa ilo la mshahara wa tgs D ni zipi zngne?
Ukipata kazi nenda kafanye.. Narudia tena ukipata kazi ww nenda kafanye.

Changamoto ni mojawapo ya part za kazi.. Niko wilaya moja porini huku Nyanda za juu Kusini washkaji wa Halmashauri wako njema tu!
 
Nendeni huko wameongeza
Screenshot_20230407-125219.jpg
 
Kuna watu nawafaham wamepata placements, lakini walikua wanajitolea , sisi ambao hata hyo nafasi ya kujitolea hatujapta sijui itakuaje[emoji848]

What do you mean? Hawakufanya interview??
 
Back
Top Bottom