Recent content by Lumecha orijino

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya kazi ya Ualimu na Uaskari wapi penye unafuu

    Upo sahihi mkuu,lakini kwa asiyejua ni ngumu sana kum-convice akubali huo ukweli. Mfano: Mfano mimi niliamua kuacha kazi ya ualimu baada ya kuifanya kwa muda wa miaka 7, nilipata kazi niliyoona inalipa baada ya kupewa ofa ya Tsh.1.5 milion kwenye makaratasi before makato .......mungu...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya kazi ya Ualimu na Uaskari wapi penye unafuu

    Kiongozi nakushauri usiache Ualimu. Kazi yeyote ile ya Uaskari...either Police au Jeshi(JWTZ) sio kazi ndugu yangu. Hao unao waona askari nao wanatamani watoke huku but wanashindwa coz they do not have other options za ajira .....nikiwa na maana hawana elimu ya kutosha (professional) au hata...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Deo Filikunjombe: Tanzania sio mali ya CCM

    JeyKey au kilaza nape au toto la mkulima feki....p.i.n.d.a akipata clip ya maneno ya Deo filikunjombe au ndio watajua sio wote waliomo ndani ya ccmni vilaza.....dogo ameichana CCM ile mbayaaa....Deo magamba wakikuzingua 2015 hamia chadema.....wana Ludewa wana akili sana wapo nyuma yako...
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa yangu iko njia panda, nifanyeje?

    Mkuu wewe ndio unaharibu hiyo ndoa yako, tatizo ni wewe huthamini mchango wa mkeo.. 1. Ina maana katika hiyo miaka 21 ya ndoa mkeo hana mchango wa familia au wewe unaona mchango ni kuchangia pesa tu? je hu-do nae? je anakuadai pesa ukim-do? 2. Unamuona yeye kama mpira tu au bakuli la kutumia...
  5. L

    JamiiForums Tanzania JK kuvunja baraza la mawaziri baada ya sherehe za Muungano

    1 + 1 = 11 , hizi ndizo hesabu za magamba!
  6. L

    JamiiForums Tanzania Jamani nimepokea Kadi ya Mwaliko wa hii kitu, NIENDEE!!!

    mhmh hizo totoz dah
  7. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kuishi nae maisha ya ndoa (mke)

    Asante bibie kwa kunipa moyo! nakutakia kila lakheri na kazi njema!
  8. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kuishi nae maisha ya ndoa (mke)

    Wapendwa akina dada wa Jf na wana MMU ( LOVE Connect), poleni na pilika za hapa na pale. Mimi najitokeza hapa kwa lengo la kutafuta mchumba (binti ambaye yupo very serious) mwenye nia thabiti kama yangu - kutaka kuishi maisha ya ndoa. A: SIFA ZANGU. 1. Nina miaka 33, Elimu yangu ni ya chuo...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hii mitindo balaaa

    na hapo je!
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hii mitindo balaaa

    Hapo vipi wakuu
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa mwezi. kaaazi kweli kweli

    Dah hawa watoto balaaaa , hapo kabla ya game kwanza konyagi nusu mzinga huku yeye anapiga amarula, sasa kitakachofuata hapo msiniulize maana mhmhhm kweli mungu aitwe mungu coz anajua kuumba totoz duuuh
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimesamehe ila nashindwa kusahau

    Wewe vumilia bana, tatizo la MwanajamiiOne yeye ali-tendwa pakubwa sana ndio maana mpaka leo hii hawezi kusahau hiyo kitu iliyomtokea! Yaani ni kama huyo jamaa yake alimpotezea dira ya maisha hivi! thus why bado analo tu ndani ya moyo wake! We hiyo ipotezeee tu dada yangu
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimesamehe ila nashindwa kusahau

    Kazana kusali na umuombe mungu huyo mume wako asichepuke tena pembeni. Pia nawe uwe makini yaani mume wakoa akuambie anaenda safari siku 2 bila kuhoji hiyo safari inahusu mambo gani? mijini shule bana! Muuilize Asprin akupe shule
  14. L

    JamiiForums Tanzania Madame Rita, Irene Iranga and Seven in pictures

    Mchungaji hapo sio eti huenda amepiga mileage mingi ! hilo ni jawabu tosha mkuu, coz hata watu wamehonga capital za kutosha hapo! usijaribu wala kuwazia , hapo geji inasoma balaa!
  15. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenikuta, maji yapo shingoni, naomba ushauri wapendwa plse!

Back
Top Bottom