Lumecha orijino
Member
- Apr 3, 2011
- 27
- 13
Madam Rita ametulia ila shida huenda amepiga mileage mingi Kama Bajaj!
Mchungaji hapo sio eti huenda amepiga mileage mingi ! hilo ni jawabu tosha mkuu, coz hata watu wamehonga capital za kutosha hapo! usijaribu wala kuwazia , hapo geji inasoma balaa!