Natafuta mchumba wa kuishi nae maisha ya ndoa (mke) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mchumba wa kuishi nae maisha ya ndoa (mke)

Discussion in 'Love Connect' started by Lumecha orijino, Oct 19, 2011.

 1. L

  Lumecha orijino Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapendwa akina dada wa Jf na wana MMU ( LOVE Connect), poleni na pilika za hapa na pale.

  Mimi najitokeza hapa kwa lengo la kutafuta mchumba (binti ambaye yupo very serious) mwenye nia thabiti kama yangu - kutaka kuishi maisha ya ndoa.

  A: SIFA ZANGU.

  1. Nina miaka 33, Elimu yangu ni ya chuo kikuu.
  2.Mkristo wa Romani Catholic,
  3. nimeajiriwa serikalini, na naishi mkoa wa ruvuma (Songea mjini).
  4. Namshukuru mungu kuwa kipato changu kinaniwezesha kuyamudu maisha vema.

  B: SIFA ZA MCHUMBA (BINTI NINAYE MTAKA).

  1. Awe na umri usio zidi miaka 30.
  2. Asiwe ameolewa na kuachika au kuzaa mtoto before.
  3. Awe na elimu AT LEAST kidato cha nne, with a Certificate in hand (Minimum division four pts 28).
  4. Sibagui dini, kabila wala rangi.
  5. Awe mtu anayejipenda, msafi, anayependa usafi muda wote, anayejiheshimu na kuheshimu watu wengine.
  6. Awe tayari kuishi popote pale nitakapokuwa nafanyia kazi (not to be far with me).
  7. sio lazima awe ameajiriwa au kuwa mfanyakazi, ninachohitaji ni mke mwema mwenye upendo na amani.

  NB: Hakuna binadamu ambaye ni mkamilifu kwa vitu vyote, hivyo kama kuna mtu atakuwa interested nami basi naomba tuwasiliane kwa njia ya PM, au kama hawana access na PM basi aniandikie barua pepe : brown.plus@yahoo.co.uk


  Nawatakia kazi njema na mungu awabariki kwa yote mema.

  Lumecha Orijino
   
 2. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  jamani bahati nimekosa!! hiyo Ya 2 imeniponza lol!!!
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  jamani bahati nimekosa!! hiyo Ya 4 imeniponza lol!!!
   
 4. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Songea yote hujaona mwanamke anayekufaa ukamuingia uso kwa uso? Au tatizo lako ni uhaba wa msamiati? Kuomba mwanamke alete maombi kwako ni sawa na kumuomba akutongoze. Kuwa jasiri.
   
 5. C

  Coolbaby Senior Member

  #5
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aaaaah sio hvyo Ruge opinion mwenzio anashida na wala ucjal Lumecha utapata tu kuwa nasubira.
   
 6. L

  Lumecha orijino Member

  #6
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante bibie kwa kunipa moyo! nakutakia kila lakheri na kazi njema!
   
 7. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  thetehetheth! Bebii jikaze tu jamani umstiri msomi wa watu!
   
 8. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  kua mvumilivu tu utampata though muda nao haukusubiri
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,487
  Likes Received: 81,781
  Trophy Points: 280
  Kila la heri.
   
 10. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Duh!! Ya kwanza imeniharibia
   
 11. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Mwanamke hatafutwi kwenye Keyboard ndg.
   
 12. D

  Didack3 Member

  #12
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usijali utapa aliye mbora kwako na mungu pia,muombe yy aliye juu atakupa lililo jema.usiumizwe na maneno makali ya baadhi ya wanajamii.
   
 13. D

  Didack3 Member

  #13
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ur wrong hata kwenye msiba,au vita watu wanakutana na kuwa wapenzi.sembuse kwenye jamii mtazamo wako sijaukubali.
   
Loading...