JK kuvunja baraza la mawaziri baada ya sherehe za Muungano

Source Jambo Leo aka magamba

Linadai kuwa alikuwa anangojea sherehe za muungano na wapo watakao ondoka na wapo watakao baki.

Mie nadhani kaona sio upepo tena ni dhoruba inakuja ni mara ngapi anatakiwa kufanya ivyo anaghairii?

Baraza halivunjwi hadi uchaguzi mpya 2015 mlie tuu endeleeni kulilia pipi
 
Ndo subr km havtaletwa vbovu kuliko hvo..hawez weka wa2 cmart mana anajua kbla ya 2015 nymba itawaka.. Atarudsha madudu ili mkpga kelele 2015 itakuwa imefka anajiendea msoga.
 
Sijui ukweli upi unataka ,ukweli wa kuanzia au ukweli wa kumalizia au ukweli wa kutenda?Unata kutuambia kuwa JK ni sawa na stand alone computer?Basi kama ndio hivyo ramli,newsleak gossip hazina nafasi.

Hazina nafasi, ni upuuzi tu mbele ya tasnia ya habari ambapo kila mwandishi anataka kujifanya ana uwezo wa kuota kitakachotokea kwenye kuta za Ikulu!
Pia hyo habari yenyewe haina mashiko.....
Ila sijakukataza kuamini unavyotaka.
Kwangu hizi ni ramri tu.
 
Source Jambo Leo aka magamba

Linadai kuwa alikuwa anangojea sherehe za muungano na wapo watakao ondoka na wapo watakao baki.

Mie nadhani kaona sio upepo tena ni dhoruba inakuja ni mara ngapi anatakiwa kufanya ivyo anaghairii?

Upepo wake umeishia wapi?
 
Habari hii ina uhakika gani?., yetu masikio, ni wiki ya pili sasa tangu masikio na hisia za watanzania zimekuwa zikiteseka kwa kungojea matamko ya serikali kuhusu hili.

Tanzania haina Rais, kwakuwa raisi tuliyenae hana sifa au vigezo vya kuwa raisi. aliwekwa na wenye pesa na sasa anawatumikia hao walio muweka (mafisadi)
 
Huu muungano wenywe hauna mshiko inaonekana karume alikubali kuungana shingo upande . Alilazimishwa bila hiari yake ndio maana hakuchnaganya udongo akamuachia nyerere afanye yote atakavyo
 
Baada ya kuvunja baraza la mawaziri, what next?
Atachagua jengine, wezi kuliko hao walioondoka, waje kulamba ukoko wa mwisho uliobakia katika shamba la bibi.
Hapana, hatutaki baraza jipya (tu). Kwanza tunataka kila aliyetia mkono katika kibweta chetu, angalau wakati wa utawala wake, aturejeshee alichojotea. Vyenginevyo ni kubadilisha wezi tu.
Hii serikali ya Jk imekuwa kama hadithi ya Ali Baba na wezi 40, ibadilishwe title tu nili kuongeza idadi ya wezi.
 
Back
Top Bottom