Ushauri juu ya kazi ya Ualimu na Uaskari wapi penye unafuu

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,735
Reaction score
7,010
Mimi ni mwalimu mwenye shahada ya elimu baada ya kujiendeleza toka ualimu ngazi ya cheti,miaka 7 kazini,
baada ya kuona mambo hayaendi kabisa hapa kwenye ualimu kuna ndugu yangu kanishauri nihamie kwenye jeshi la polisi (uaskari), kwani maisha ni magumu na pamoja na kujiendeleza kielimu hakuna badiliko lolote nnlilolipata hadi sasa kuanzia mshahara uko palepale tu,
zaidi ya kupelekwa kibabe sekondari ya jirani na shule yangu ya awali bila hata kupewa stahili zangu za uhamisho,
naomba ushauri wa dhati kuhusu wapi penye unafuu,
 
Bora ualimu, polisi ukaishi kwenye maboksi?
 
kazi yoyote ile ukipata hata ina mshahara wa juuu zaidi unatakiwa utumie mshahara wako kuanzisha mradi ambao utasaidia kupunguza matumizi ya mshahara cyo kuwa mshahara ndio kila kitu hata ukiwa askar bado mshahara utauona mdogo tu mm nakushauri ufanye biashara nafikiri utafanikiwa zaidi tumia mshahara wako kuinua kipato cyo biashara tu unaweza kuwekeza kwenye kilimo
cyo wewew tu unauona mshahara hautoshi hata askari wanalalamika mshahara hautoshi kwa ujumla wafanyakazi wote nafikili mishahara haitoshi
hata wa kwangu hautoshi tuko weng ila biashara ndio inatuinua
 
Nakushauri uende polisi wana posho nyingi sana bt uwe tayari kuwa mlinzi wa bank na shahada yko
 
Mimi naona police wana unafuu kwasababu police wengi wana vitambi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

kitambi sio kipimo cha maendeleo,labda kazi wanazofanya ndo huwafumua tumbo!
 
kazi yoyote ile ukipata hata ina mshahara wa juuu zaidi unatakiwa utumie mshahara wako kuanzisha mradi ambao utasaidia kupunguza matumizi ya mshahara cyo kuwa mshahara ndio kila kitu hata ukiwa askar bado mshahara utauona mdogo tu mm nakushauri ufanye biashara nafikiri utafanikiwa zaidi tumia mshahara wako kuinua kipato cyo biashara tu unaweza kuwekeza kwenye kilimo
cyo wewew tu unauona mshahara hautoshi hata askari wanalalamika mshahara hautoshi kwa ujumla wafanyakazi wote nafikili mishahara haitoshi
hata wa kwangu hautoshi tuko weng ila biashara ndio inatuinua
nashukuru mkuu kwa ushauri ,
ngoja niendelee kuongoja mawazo mengine then ntaamua,
 
wewe unakosea ukitoka upolisi utahamia wapi? Nenda polisi siku moja ukutane na majambazi face to face nadhani utaikumbuka chaki. So calm down anzisha miradi tulia fanya kazi.

oooopp!!....
get rich or die!!
 
Polisi kuna ulaji zaidi aisee. Tena ingia usalama barabarani uone jinsi utakavyokua mnene! Na mfuko wa suruali utashona mkubwa na kuufua itakua shughuli manake huwa unachafuka sana kuliko gwanda lenyewe
 
Kila eneo linahitaji kujipanga mkuu wangu though unapokea kidogo kiasi gani,mimi pia ni mwl ngazi ya Shahada na nmeanza kazi mwaka huu lakn kadiri nnavyojipanga mpaka muda huu naona maisha yanakwenda safi tuu,jambo la msingi tafuta biashara itakayokuingizia kiasi flani cha fedha mbali ya kutegemea salary,nmejaribu kwa kweli na naona nasonga mbele,kumbuka changamoto xzipo kila eneo na namna tu utakavyojipanga wewe ili kukabiliana nazo.
 
mshahara wa cheti na degree yako? Bora utafute private unapiga laki 8-9 na mazingira mazuri ya kazi after 5 yrz utakuwa mbali xna bt usisahau kupiga biashara au kilimo na ufugaji! Bt kama afya nzuri pia ukitimba polisi au jeshi unapiga ela zaidi
 
[QUOTE mkuu kitambi cyo kuwa una hela mbali kitambi ni juhudi yako mwenyewe na uzembe wa kufanya mazoezi kulakula ovyo

Sawa mkuu. Sasa utakulakula hovyo kama huna hela?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kiongozi nakushauri usiache Ualimu. Kazi yeyote ile ya Uaskari...either Police au Jeshi(JWTZ) sio kazi ndugu yangu. Hao unao waona askari nao wanatamani watoke huku but wanashindwa coz they do not have other options za ajira .....nikiwa na maana hawana elimu ya kutosha (professional) au hata kama wanazo basi wamechelewa kufanya maamuzi magumu ya kutoka huko and they are late now to make hard decision hivyo wanaendelea kuwa watumwa huko jeshini/police.

MFANO:

Mimi nilijiunga na jeshi mwaka 2001 by then nikiwa form 6 leaver, kutokana na elimu yangu na uelewa wangu nilikuwa naumia sana kuona askari ....koplo au sajenti akiwa na mbavu za mbwa kutuburuza atakavyo na kutaka waheshimiwe as miungu kisa cheo.

Mwaka 2002 nika-join UDSM nikiwa bado askari nikasomea B.Ed na 2006 nilipomaliza nikapiga chini faster jeshi. Ukiwa uraiani unafaidi sana maisha na unakuwa huru. Jeshini amri za kufa mtu, kulinda guard, kufagia fagia kama mtoto wa primary na we hali ukiwa home unajidai baba wa familia...hahaha...acha hiyo makitu bana.

Leo hii am so happy na maisha ya Ualimu na nikikutana na askari wenzangu wananipongeza kwa maamuzi magumu niliyoyafanya na wananionea wivu sana.

USHAURI WA MWISHO:

1. Leo hii kama una degree ina maana utakuja kustaafu ukiwa na daraja H la mshahara! na kama ingekuwa leo hii unastaafu ualimu basi ungepata mafao yako kama Milioni 120 plus, je ni askari gani awe wa JWT au police ambae hana cheo kikubwa .....askari wa kawaida anaweza lipwa hiyo pesa???

2. Ualimu unakuwa free sana na mambo yako...fungua miradi ..ufugaji au biashara itakuongezea kipato kizuri sana but kazi ya uaskari ni utumwa.

NB: Mtoto wangu kamwe hata akose kazi lakini hawezi kufanya kazi ya utumwa ya Police au jeshi....NEVER!

Mimi ni mwalimu mwenye shahada ya elimu baada ya kujiendeleza toka ualimu ngazi ya cheti,miaka 7 kazini,
baada ya kuona mambo hayaendi kabisa hapa kwenye ualimu kuna ndugu yangu kanishauri nihamie kwenye jeshi la polisi (uaskari), kwani maisha ni magumu na pamoja na kujiendeleza kielimu hakuna badiliko lolote nnlilolipata hadi sasa kuanzia mshahara uko palepale tu,
zaidi ya kupelekwa kibabe sekondari ya jirani na shule yangu ya awali bila hata kupewa stahili zangu za uhamisho,
naomba ushauri wa dhati kuhusu wapi penye unafuu,
 
Kiongozi nakushauri usiache Ualimu. Kazi yeyote ile ya Uaskari...either Police au Jeshi(JWTZ) sio kazi ndugu yangu. Hao unao waona askari nao wanatamani watoke huku but wanashindwa coz they do not have other options za ajira .....nikiwa na maana hawana elimu ya kutosha (professional) au hata kama wanazo basi wamechelewa kufanya maamuzi magumu ya kutoka huko and they are late now to make hard decision hivyo wanaendelea kuwa watumwa huko jeshini/police.

MFANO:

Mimi nilijiunga na jeshi mwaka 2001 by then nikiwa form 6 leaver, kutokana na elimu yangu na uelewa wangu nilikuwa naumia sana kuona askari ....koplo au sajenti akiwa na mbavu za mbwa kutuburuza atakavyo na kutaka waheshimiwe as miungu kisa cheo.

Mwaka 2002 nika-join UDSM nikiwa bado askari nikasomea B.Ed na 2006 nilipomaliza nikapiga chini faster jeshi. Ukiwa uraiani unafaidi sana maisha na unakuwa huru. Jeshini amri za kufa mtu, kulinda guard, kufagia fagia kama mtoto wa primary na we hali ukiwa home unajidai baba wa familia...hahaha...acha hiyo makitu bana.

Leo hii am so happy na maisha ya Ualimu na nikikutana na askari wenzangu wananipongeza kwa maamuzi magumu niliyoyafanya na wananionea wivu sana.

USHAURI WA MWISHO:

1. Leo hii kama una degree ina maana utakuja kustaafu ukiwa na daraja H la mshahara! na kama ingekuwa leo hii unastaafu ualimu basi ungepata mafao yako kama Milioni 120 plus, je ni askari gani awe wa JWT au police ambae hana cheo kikubwa .....askari wa kawaida anaweza lipwa hiyo pesa???

2. Ualimu unakuwa free sana na mambo yako...fungua miradi ..ufugaji au biashara itakuongezea kipato kizuri sana but kazi ya uaskari ni utumwa.

NB: Mtoto wangu kamwe hata akose kazi lakini hawezi kufanya kazi ya utumwa ya Police au jeshi....NEVER!

ahsante sana mkuu,
umefunguka kwa uzoefu kitu ambacho kinanisaidia kupata picha halisi ya jeshi la polisi ilivyo,
 
Back
Top Bottom