Recent content by luhombi

  1. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi CCM inavyoingamiza Mtwara

    umesahau kuwataja membe,chikawe na majaliwa
  2. L

    JamiiForums Tanzania Waziri anapolima na suti

    hivi pinda ni waziri mkuu wa tanzania au wa rukwa na katavi tu? mwezi mmoja hauwezi pita bila yeye kutembelea mikoa hiyo. binafsi sijawahi kusikia ametembelea lindi au mtwara
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    really commando-dar to masasi central star wifi nae born coast
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ndani ya jf......

    mkuu hii ni virtual organization kama ilivyo wikiliks haionekani physically
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amerudi

    mpe mzigo tena wewe
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hiki chuo jamani mmh!

    ni kawaida coc udsm inachukua wiki tatu
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na elimu inayotolewa Kampala International University tawi la Dar

    unashangaa KIU? me nawajua watu kibao walifeli form 4, hawana credit 3, na sasa wako morogoro muslim university kuna wengine nao ni failure lakini wanachukua bachelor mzumbe. sasa kwa mtindo huu ni bora serikali ikatangaza rasmi kua kujiunga na university hata failures ruksa
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania What is your unforgettable movie?

    bridge of dragon - dolphy lundergren
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kuelekea miaka 51 ya Uhuru Tanzania: Utasherehekea vipi?

    subiri gwaride na mizinga 21 ya jeshi
  10. L

    JamiiForums Tanzania Usaili udom vipi?

    asante mkuu, nilikua sielewi hicho kitu si unajua arrangement za schools and colleges zinatofautiana toka chuo kimoja hadi kingine
  11. L

    JamiiForums Tanzania Usaili udom vipi?

    wadau udom wameita watu kusailiwa ni wa skuli of humanities angalieni kwenye web yao. naombeni mnijulishe kama political science ni part of skuli of humanities wakuu
  12. L

    JamiiForums Tanzania udom wameita watu kwenye usaili- ni school of hummanities

    ingieni kwenye web yao. hivi school of humanities inajumuisha na political science wakuu?
  13. L

    JamiiForums Tanzania Biashara matangazo bana!

    nakumbuka sana eneo hilo coz ilikua njia yangu nikiwa napiga shato pori
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mh. Pinda tumekukosea nini watu wa lindi na mtwara?

    tokea ushike wadhifa wako mwaka 2008, nimekuwa nikifuatilia utendaji wako wa kazi hususani ziara za kuhamasisha maendeleo na kuwaamsha watendaji waliolala huko mikoani na mawilayani. nilichogundua ni kwamba umejikita zaidi kutembelea katavi na rukwa. ni ukweli usiofichika kuwa hauwezi kaa miezi...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Nyerere na Kenyatta....naulizia swala la afya ya Rais.

    afya ya nyerere ilikua ya mashaka bcoz alizeeka mapema sana nadhani kutokana na concentration ya mawazo. kumbuka kenyatta amezaliwa 1880's lakini ukiwatazama pichani unaweza hisi wanalingana
Back
Top Bottom