Biashara matangazo bana!

Biashara matangazo bana!

Tangazo lipi? Mie naona mawili tu la airtel na mzee wa upako ila ilo la tatu sio tangazo bali ni tawi-m4c with no apology.
 
Mzee wa Upako anavutia sadaka

Juzi kasema ana magari ya kifahari tu na kusema hana gari la kijapan. Akawahakikishia kuwa walio mbele yake watakuwa kama yeye! Wazidi kutoa fungu la kumi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Shenzi yeye anatoa kwa nani. mijitu inashangilia tu!!
 
Juzi kasema ana magari ya kifahari tu na kusema hana gari la kijapan. Akawahakikishia kuwa walio mbele yake watakuwa kama yeye! Wazidi kutoa fungu la kumi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ****** yeye anatoa kwa nani. mijitu inashangilia tu!!
Kutumia Jina la Mungu kuiba kuna mwisho wake.
 
nakumbuka sana eneo hilo coz ilikua njia yangu nikiwa napiga shato pori
 
nakumbuka sana eneo hilo coz ilikua njia yangu nikiwa napiga shato pori

Na chakula ulikua unaenda kula riverside nini? Kwenye mchuzi unaozidi wali, hadi ukirudi hostel njaa inauma tena.
 
Back
Top Bottom