Spinster
JF-Expert Member
- Mar 19, 2012
- 487
- 138
aliniacha kwa mbwembwe zote..sasa nashanga..amerudi,tena kwa mbwebwe za kuomba msamahi,sms za sorry zinafululika kama mvua..had anajaza inbox yangu...Mwanaume hana haya huyu mana kasahau kashfa,na kibut alichonipa anarud mdogooo kuomba msamahaaaa....
Too bad kwake cz cwez kurudia matapishi yangu,aliniacha majestically na mbaya zaid janaume zima lilinidai vtu alivyonipa kwa nguvu zoote...bibye nlirudisha kila alichonidai kuepusha shari,nlikubaliana na maamuzi n nkamuv on na maisha yangu.. sa hv anajifanya kuomba msamaha cjui yamemshinda nn huko
..my lovely dada wenzangu ucje kufanya mistake ya kumrudia mwanaume aliekukashfu,na kutangaza kila kona mlipoachana...hiyo ndo type ya wanaume wasio na msimamo..na ndo type ya wanaume wanaotangaza siri za ndan kwa ndugu na majiran..
Wanaume bhana...i cant u guyssss..your anothrr kabisssa...hahahaha