miongoni mwa maadili ya wandishi w habari ni kutokumhusisha mtu na maovu ya ndugu zake. ukiwa fisadi wewe itakuwa makosa kumzomea mtoto wako, mke wako, hawara wako, baba yako, mama yako na rafiki yako.
hawa watu wenye uhusiano nawe watazomewa tu au kuhusishwa na nawe kama wanashirikiana nawe...