ubaguzi kazini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ubaguzi kazini

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by lovulovu, Jul 22, 2009.

 1. l

  lovulovu Member

  #1
  Jul 22, 2009
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nimesoma sheria ya ajira na mahusiano mema kazini (employment and labour relations act) nikagundua kwamba ni kosa la jina (offence) kwa mwajiri kumbagua mfanyakazi in policy or practice. sasa je shauri la namna hiyo la kubaguliwa na mwajiri linafunguliwa katika mahakama gani na adhabu yake ni nini? na je mfanyakazi aliyebaguliwa aweza kulipwa fidia? ni vipi kama mwajiri ni foreigner aweza kutimuliwa nchini?
  lovulovu
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mmmh
  Wataalamu wa sheria makazini na hasa zaidi watu wa vyama vya wafanyakazi mnaweza kusaidia hili
   
 3. l

  lovulovu Member

  #3
  Aug 6, 2009
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nakushukuru Paka Jimmy kwa hoja yako lakini ni kwa bahati mbay sana kwamba hadi leo hakuna mtaalam wa sheria hata mmoja aliyenijibu swali langu kuhusu ubaguzi kazini - nini adhabu yake na kama naweza kupata fidia au kama mbaguzi ni mgeni aweza kutimuliwa nchni.
   
Loading...