mavazi rasmi ya wanasheria ni yapi wakiwa mahakamani, kwenye chemba ya jaji, hakimu mkazi nk | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mavazi rasmi ya wanasheria ni yapi wakiwa mahakamani, kwenye chemba ya jaji, hakimu mkazi nk

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by lovulovu, Jan 15, 2012.

 1. l

  lovulovu Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  :lol: mimi nashangaa sana kila ninapokwenda mahakamani nakuta wanasheria wamevalia mara suti nyeusi na shati jeupe, mara suti nyeusi na shati la bluu iliyokolea, mara wavae vitambaa vyeupe shingoni, mara niwakute wameniga tai nyeusi na kadhalika. hivi rasmi hasa mavazi rasmi ya wanasheria na hao mawakili ni yapi? je wanatakiwa kuvaa mavazi tofauti wakiwa mahakamani, wakiwa kwenye chemba zao, wakiwa kwenye chemba za majaji, wakiwa kwenye chemba za mahakimu wakazi, wakiwa kwenye mahakama za wazi za wilaya na kadhalika na kadhalika. na je ipo sheria maalumu inayoelekeza wanasheria na majaji na mahakimu wavaeje wapi na saa ngapi wavae hivyo? naomba anayeweza kutufafanulia atupe majibu.
   
Loading...