Member Array
Join Date : 6th November 2009
Posts : 49
Rep Power : 439
Likes Received15
Likes Given25
Makongoro Mahanga Kusema tujiandae kushangilia tarehe 02/05/2012 tafsiri yake nini?
Wana JF, leo katika pitapita zangu hapa Arusha nilikuwa kwenye hoteli ya New Arusha hotel ambako mh. Makongoro Mahanga alikuwa amefikia na ka small house kake.
Katika mazungumzo yake na Mh. Bernard Murunya (EAC elect MP) kwenye miida ya saa tisa hivi mchana, akawa ana mwambia kuwa amejiandaa vipi na kushangilia hiyo siku ya tarehe 02/05/12. Nikajiuliza siku hiyo kunanini, kumbe kulikuwa na jamaa kwa pembeni yangu alikuwa akifuatilia hayo mazungumzo ndipo akaniambia ndiyo siku ya hukumu dhidi ya ubunge wake. Nilijiuliza maswali mengi kama hii ndiyo aina za mahakama zetu kweli tumekwisha. Mengi yanayo fanyika mahakamani ni drama tu kwa walala hoi lakini si kwa wakubwa na isitoshe watawala.
I was shocked and very disappointed to hear this news na nikaona niwashirikishe wana JF wenzangu mtoe maoni yenu.
Nisingependa kumhukumu Makongoro japo yeye tayari inaonekana ana nakala ya hukumu kwa hiyo kauli yake lakini wengi wetu tulikuwa tunafuatilia hizi kesi lakini kati ya kesi zote, ya Mahanga imekaa vibaya kuliko ya mbunge yeyote.
Nawasilisha!
You,
fredmlay,
Daudi mchambuzi and
3 others like this.
Reply
Reply With Quote