Recent content by Losser Bad

  1. Losser Bad

    JamiiForums Tanzania Daraja linalounganisha Dodoma na Morogoro limevunjika, hakuna mawasiliano ya barabara

    Wakuu.Maendeleo ya daraja yapoje huko. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Losser Bad

    JamiiForums Tanzania KISUTU: Kizimbani kwa tuhuma za kulawiti na kusambaza picha za ngono

    Tatizo maneno mengi lakini video haitumwi. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Losser Bad

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha kiongozi wa nchi kuzuiliwa kuingia Marekani kina athari gani? Ni adhabu?

    Huu ndio mwanzo wa mwisho. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Losser Bad

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hii ndiyo supu ya popo huko China

    Ingetangazwa kuwa hii supu ya popo inatibu nguvu za kiume.Lingekuwa ni suala la miezi kadhaa tu duniani wangebaki Popo tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Losser Bad

    JamiiForums Tanzania Yaliyomkuta Stamina, Mabeste na Ally Kiba ni bora kuliko yaliyomkuta Davido

    Yani mimi bwana,nilikuwa sifahamu hata kama Davido ameoa. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Losser Bad

    JamiiForums Tanzania Dry season is very bad

    Why my problem is Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Losser Bad

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua jina la huu wimbo

    “Aliingiza mwenyewe akashindwa kuchomoa” Mkuu napita tu,ila nakumbuka hizo verse na naukumbuka huo wimbo, ila sijui nani ameimba na pia sifahamu nyimbo inaitwaje. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Losser Bad

    JamiiForums Tanzania Maumivu makali ya mgongo (back pain) na tiba yake

    Napita kukupa pole tu mkuu. Japo maumivu ya lower back pain,sina hakika kama imekaa sawa. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Losser Bad

    JamiiForums Tanzania “Mrithi wa Sanchoka” anayetrend sana kwenye Social Networks

    Hahah! Tabu Mbaga. Ukiongelea Ruaha Sec.pande za Iringa miaka hiyo ya 2006 wanamjua vizuri sana. Huyu demu alikuwa na rangi yake nyeusi nzuri kabisa tako dogo la wastani. Mkwawa chini kule ndio kwao kabisa. Ila huyu demu sishangai kabisa ameenza kuishi fake life toka ana miaka 9 ndio infact...
  10. Losser Bad

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ni laptop gani aina ya HP ni nzuri kwa matumizi ya chuo?

    HP Elite Book. Over. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Losser Bad

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Preliminaries ndio uhuni mkuu.
  12. Losser Bad

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FAHARI YA MACHO....NYORO SIMPLE ILA TAMUU ZINAONEKANA

    Usalama unaenda kupotea hapa,ni suala la muda tu.
  13. Losser Bad

    JamiiForums Tanzania Kujua kama chakula ni sumu kwa binadamu, nimrengeshee mbwa , paka au panya ?

    Mkuu mbona Meko yupo. Mlengeshe tu huyo jamaa.
  14. Losser Bad

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hanihudumii ila yeye anataka nimhudumie. Naombeni ushauri wenu hii ni ndoa au ni nini?

    Yani unacholalamika kikubwa ni kuudumiwa tu.? Au nimekuelewa vibaya..?
  15. Losser Bad

    JamiiForums Tanzania Ngara, Kagera: Lori la Mafuta limeanguka Rusumo Magereza watu wanachota mafuta

    Ina maana hamna wa kuchomoa Betri Hapa..!?
Back
Top Bottom