“Mrithi wa Sanchoka” anayetrend sana kwenye Social Networks

Unataka details gan mkuu hii kazi ya warumi aisee

niliona her interview kwa Millard Ayo anasema kasoma Malaysia! Which isn’t true🤣 hatak kusema ukweli Shule alizosoma maana anajua kuna vichwa vitamuandama

Btw hayo maisha alikua anayapenda waaaaay back so it’s a dream come true to her.
Hahah! Tabu Mbaga.

Ukiongelea Ruaha Sec.pande za Iringa miaka hiyo ya 2006 wanamjua vizuri sana.

Huyu demu alikuwa na rangi yake nyeusi nzuri kabisa tako dogo la wastani.

Mkwawa chini kule ndio kwao kabisa.

Ila huyu demu sishangai kabisa ameenza kuishi fake life toka ana miaka 9 ndio infact maisha anayoyapenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kama mtu hana hana hanaa tu haijalishi umri
Hahahaaaa 18 bado hawajaanza kula vyakula vya mafuta mafuta michemsho,biere,kiepe yai hivyo Mismbwanda inakuwa midogo mafuta yanaanza kukubali akifikisha 22+
 
Iringa ya wapi dogo acha uongo, kama ni jiwe gagilonga haliko hivyo hata ile milima mbele isingeonekana.......usidanganye watu, kama ingepigwa Iringa ungeona vile vihenge vya NMC, ungeiona Mlandege si hayo mamilima yanayoonekana
hhuyu anazingua hii sio iringa ni CapeTown na ile milima kule ni Table Mountain beach ni campbay nipo iringa gangi haipo hivyo uzur nilikua hapo sio mda hyo ni cape
 
Hahahaaaa 18 bado hawajaanza kula vyakula vya mafuta mafuta michemsho,biere,kiepe yai hivyo Mismbwanda inakuwa midogo mafuta yanaanza kukubali akifikisha 22+

Kumbe ndo maana watoto wa chuo huwa wanatetemesha miji na ndio wale wale wa jkt na form 6 😂😂
 
Muda mwingine tumia akili yako iliyomo kichwani vizuri sio kutumia kichwa kuhifadhi bongo fleva tu!

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Hili sio jibu unajua maana ya 75% au unaropoka tu kuitumia ?
 
Losser Bad,
Hihihiiii wewe umesoma huko bila Shaka tuishie hapa 😂😂😂😂 tusije haribu mingo zawatu 🙆🏾‍♀️🙆🏾‍♀️🙆🏾‍♀️🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️
 
Ha ....

Balaa lake si dogo.


1578446175570.png
 
hiyo ni Iringa mkuu, acha ubishi, na maeneo hayo nimezuru sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo jiwe aliokaa linafananna na jiwe gangilonga ila huo mlima ulioko mbele yake hauko Iringa
So hapo sio Iringa mkuu
Mlima wa mbele wa jiwe gangilonga ni mlima wa wilolesi na watu wamejenga sana nyumba

Then angalia hzo ghorofa zinazoonekana kwa hiyo picha sio za Iringa kimsingi hapo jengo refu lilitakiwa kuonekana ni lile la maeneo ya retrco kinu cha taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani bongo ukiwa na matako makubwa tu na kupiga mapicha ya uchi tayari ni star unapewa airtime hadi kwenye media..huu upumbavu wa awamu ya tano inatakiwa ukemewe kwa nguvu zote kwa faida ya vizazi vijavyo
Zamani chupi ilikuwa inasitiri makalio, siku hizi makalio ndiyo yanasitiri chupi kwa akina dada
 
Kiuhalisia havutii kwakuwa shepu yake haiko proportional... Sana sana ni hilo kalio kubwa tu ambalo hata hivyo hawezi kulitumia vema
Wanazengo mnamtambua mrembo hapo pichani.Naona anatrend sana mitandaoni ikiewemo IG kiufupi anaonekana kuwa level moja na sanchoka kwenye maswala yalee.....

Inasemekana anatoak iringa

Kwa mwenye details zaidi
Anajiita @nicolejoyberryView attachment 1312347View attachment 1312348View attachment 1312349View attachment 1312350

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Back
Top Bottom