RUJEINER
Senior Member
- Jan 18, 2018
- 129
- 152
Habari wanajamvi...
Mimi ni binti wa 21yrs na ni mwanafunzi pia 3rd year now (BA.education).
Katika harakati zangu za masomo mpaka kufika form six sikuwahi kujihusisha na mapenzi.. ila nilipofika form 6 nilianzisha uhusiano na mtu ambae pia alikuwa ni mwanafunzi (now kamaliza diploma in medical laboratory) mahusiano yetu yalikuwa mazuri sana for the first time na niliona ana deserve kuwa baba watoto kwa baadae...
Baada ya kuanza chuo mahusiano yetu yaliendelea kuwa mazuri japo alikuwa na wasiwasi mkubwa juu ya kusalitiwa niwapo chuo na wivu ulimzidi mpaka kufikia kuwa anakagua simu yangu na kutaka kujua kila contact ya jina la kiume ni nani. Kiukweli sikuwa comfortable kuwa na urafiki wowote na boys wa chuoni kwetu maana niliogopa sana kuharibu uhusiano wetu...
Alivyoona kuwa anaweza nipoteza alinambia kuwa anataka kunioa na kama sitaki kuolewa nae basi tuachane...
Mimi nilikataa kuolewa kwasababu niliona bado nasoma, pili maisha yetu wote bado ni wanafunzi so haitaleta maana kama tutawahi kuanzisha familia.. pia uwezo wa kujikimu bado mdogo.. nilimwambia kama tunaachana tuachane.. na baada ya kumwambia hivo tulikaa mwezi bila kuongea kila mtu akifanya mambo yake..
Upande wangu nilijua tumeshamalizana na nilikaa mda nikiwa peke yangu.. na baadae niliamua kuanzisha uhusiano mpya na mtu mwingine ambae tupo nae chuo tunashare masomo.... Nilimpenda sana huyu mpya kuliko wa zamani na up to now nampenda pia.
Baada ya yule jamaa kuona nna uhusiano mpya alienda kwa dada zangu na baadhi ya ndugu zangu kusema kuwa nadanganywa na wahuni wa chuo na akaomba kuwa ni bora anioe.. ndugu zangu walimkubali sana na wakaniambia ni lazma niolewe nae.. nilijaribu kuwaeleza shida ntazopata ila wao walijua chuo kishaniharibu ni bora waniozeshe..
Nilikubali kishingo upande hivohivo kweli tukaoana mwaka jana mwezi wa 7 .. maisha yalienda vizur kwa mwanzo ila sasa imekuwa viceversa...
Alikuwa amepanga ila kodi zilimshinda kulipa nikawa nalipa mimi, vyakula baadhi nikawa nanunua mimi na kuweka ndani.. kwakuwa wazazi wangu walinipaga kiwanja na kwa jitihada zangu binafsi wakati nipo nikisubiri kuanza chuo nilibahatika kufanya kazi na kujenga chumba kimoja na sebule na hivi sasa tumehamia hapo...
Kinachoniumiza kichwa ni kuwa hanipi matumizi ya kula per day, kazi zake sizielewi mara aache mara afanye, najilisha mimi na wakati mwingine narudi nyumbani kukaa kwa muda...
Naombeni ushaur wenu hii ni ndoa au ni nini??? Napata wakat mgum maana HANIHUDUMII ila huduma zake yeye anazitaka nimtimizie ...