Kujua kama chakula ni sumu kwa binadamu, nimrengeshee mbwa , paka au panya ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Wakuu.

Wahenga wanasema sumu haijaribiwi kwa kuonja mdomoni.

Nataka nijue kama chakula ni sumu kwa binadamu , nimrengeshee paka au panya kwanza ? Au kuna njia gani ya kukiprove hicho chakula kama kinaua binadamu ?

Madaktari hutest vipi?

Asanteni.
 
Mkuu kwani Mbwa,paka na panya hawana haki ya kuishi...???nenda nacho hospital maabara wakakipime,huko ndio utapata majibu mazuri na kiwango cha sumu
 
Panya ndo almost digestion system yake na binadamu vinafanana. Yani in short system zake nyingi ziko sawa na za binadamu.
 
Back
Top Bottom