Naombeni ushauri ni laptop gani aina ya HP ni nzuri kwa matumizi ya chuo?

Tellurium

Senior Member
May 30, 2019
132
154
Habari wana jf

Husika na kichwa cha uzi naomba ushauri, pia na bei yake na kwa mbeya ni duka gani wana bei nafuu?

Naomba kuwasilisha.
 
Kwa budget nzuri around laki 9 nenda na i3 za kisasa 8th gen mpaka 10th gen hizi zina nguvu kuliko i7 za gen ya 7 kushuka. Mfano wa hizo i3 ni kama

i3 8145u
i3 8130u
i3 8109u

Hizo za juu ni common mtaani, na hizi za chini ni nzuri zaidi ila supply si kubwa sana ni kama

i3 10110u
i3 1000G4
i3 1000G1
i3 1005G1

Kwa budget around laki 6 mpaka 8 unapata generation nzuri kama ya 6 na 7 processor kama

i3 6100u
i3 7100u
Na zifananiazo.

Na kama bado budget ni ndogo zipo laptop used gen ya 4 ama 3 unazipata as cheap as laki 3, zinaweza kuwa i3/i5/i7 sema i5 ni common zaidi.

Kujua laptop gani inatumia processor gani nenda mycomputer kisha right click kisha chagua properties.
 
Nashukuru sana kwa ufafanuzi bomba kabisa
 
Back
Top Bottom