kwanza nianze kwa kuwapongeza baadhi ya wafanyakazi wanatambua wajibu wao kwaba wapo pale kwaajili ya nini?lakini pia naomba nielekeze kero yangu idara ya mikopo branch ya mafinga watumliotuwekea pale sidhani kama wanafahamu wajibu wao mm nijuavyo mkopo ni biashara lakiniwao nadhani wanaona kama...
mm nilikuwa na mtaji kidogo na nimeipenda hiyo biashara ya kukopesha naomba elimu ya kuandaa mifumo ya riba kama ulivyo ainisha hapo kuwa kuna ya siku ,wiki na mwezi nahisi mkinisaidia nitaweza kufanya pamoja na kuwa na majukumu mengine vip kuhusu kusajili line?
natamani tungewapata wajuzi wa namna sale za jeshi la wananchi zinavyo patikana ili tuweze kuwa na uelewa mpana namna ya kuhoji kesi inayo mkabili ndug manji
inawezekana wao waliona imekuwa headline kwa kila chombo cha habari na wakaona waje na habari kuu mpya kumbuka waliilipoti tarifa hiyo ya kuuwawa kwa majambazi tangu sku ileile ya tukio na kumbuka kunabaadhi ya wadau walihoji juu ya weledi wa waandishi wa gazeti hilo kuripoti taarifa ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.