sanji
Member
- Jul 28, 2015
- 54
- 20
Nenda reply alaf utakuta
Option 4 inayoanza ni camera angalia ya mwisho inafanana clip pin..
Utaupload hpo

Nenda reply alaf utakuta
Option 4 inayoanza ni camera angalia ya mwisho inafanana clip pin..
Utaupload hpo

Ya katavi plz



Majina ya mikoa yote yapo mtandaoni download tuMkoa wa Tanga jamaniii
Tuma tu link ya page mkuuMb 25 si mchezo.. Imegoma kuja humu
kagera tayari mkuu washayaweka.angalia post za nyuma vizuriNaombeni ya Kagera
Ni kweli hata Mimi nimeshangaa sana kutokuona jina langu upande wowote yani hata sielewi...Kuna orodha imetolewa ya watu waliohakikiwa kila mkoa , ila cha ajabu kunawatu walihakikikiwa lakini majina yao hayamo na hawako upande wowote ( kwa kifupi wametoa majina yote waliyohakiki)
Yako wapi au ni kudanganyana ili kurushana roho!!!!Nimepata orodha ya watumishi waliohakikiwa kwa mkoa wa Pwani pekee, orodha kama hii ya mikoa mingine zinapatikana wapi?
Mwenyezi ufahamu juu ya suala hili naomba kufahamishwa pia au aliyenazo naomba aweke hapa Specifically ya Mkoa wa Kagera na Kilimanjaro.
nimetafuta sijayapata mkuukagera tayari mkuu washayaweka.angalia post za nyuma vizuri
Naomba majina ya Mkoa wa MaraNi kweli hata Mimi nimeshangaa sana kutokuona jina langu upande wowote yani hata sielewi...