Maarifa ya kuondokana na umasikini

Maarifa ya kuondokana na umasikini

Vijana Wengi Hatupendi Kuwekeza Katika Muda, Tunapenda Mikato (Shortcuts). Tunatamani Kila Tukitakacho Kije Ndani Ya Muda Mfupi Tu, Matokeo Yake Hata Kama Kitapatikana Kitapotea Kama Kilivyokuja.
Ni Lazima Tukubali Kuanzia Chini Kwa Kutengeneza Msingi Imara, Tutambue Nini Tunataka Na Nini Tunakihitaji, Itatugharimu Nini Kukipata Na Kitadumu Kwa Muda Gani.
Ni Bora Upitwe Na Wakati Wao( Usasa) Ukiwa Unautumia Wakati Wako (Kujiimarisha Kimaisha), Kuliko Kuendana Na Wakati Wao Na Wako Ukakupita Pia.
" Ukijikita Sana Kwenye Sekta Zenye Manufaa Utafeli Kwenye Umuhimu" Dr. V.D
 
Mawazo kuntu sana!!
 
Back
Top Bottom