Lipuma mnyitanana
Member
- Mar 30, 2017
- 34
- 27
habar wana jf naombeni msaada ninakijana wangu anaumri wa miaka 13 anakojoa sana kitandani nini tatizo?jenini matibabu yake?
Ukipata wataalam niambie mkuu na Mimi mabinti zangu wana the same problem, plzhabar wana jf naombeni msaada ninakijana wangu anaumri wa miaka 13 anakojoa sana kitandani nini tatizo?jenini matibabu yake?
Hili tatizo linaitwa enuresis, ni sehemu ya magonjwa ya ubongo. Nenda kwa wataalamu wa mental health utapata msaada. Linatibika.habar wana jf naombeni msaada ninakijana wangu anaumri wa miaka 13 anakojoa sana kitandani nini tatizo?jenini matibabu yake?