Recent content by Lil G

  1. Lil G

    Vijuza kutoka ughaibuni vinawamaliza vijana wa Arusha

    Na wewe kaoe kibibi kimoja Norway utoke nao ngoma draw
  2. Lil G

    Yabainika: Mjane wa Tanga aliyemlilia Rais Magufuli si tapeli. Nyaraka nyeti zaibuliwa

    Mzee hii analysis yako unaeza ikuta CNN na Al Jazeera huko, huku bongo concentration ipo kwenye maelezo ya huyo mama. Kujua kaingiaje hapo tena na bango alafu yeye mwenyewe tu. Kudadadeki, Nimeipenda hii.
  3. Lil G

    Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

    Wanacheza tu na akili za waTz. Ina maana hao maaskali wameshindwa kuwataja watu wanaowasaidia?? Ina maana intel imeshindwa kutuletea mapapa ina leta hawa kajamba nani?? Hizi ni kiki zisizokua na tija
  4. Lil G

    Mbunge Upendo Peneza(CHADEMA) akamatwa Geita mjini, aachiwa kwa dhamana

    Kwani wanaokamatwa ni wanyonge??
  5. Lil G

    Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

    Mdogo wao kupewa mimba wamembabu SEYA kijana wa watu. Mbona huyo Ghalib kaaribu(rusha ukuta) sana watoto wa kibongo China serikali haija mbabu Seya?
  6. Lil G

    Muhongo kamzidi 'ujanja' Magufuli?

    Tatizo la TANESCO halipo kwako wao TANESCO......wapiga dili na wezi wa nchii ndio wanalifilisi hili shirika. Mungu atusaidie tu, hakuna rais anaeingia madarakani bila kugusa TANESCO kwa kheri au shari.
  7. Lil G

    Ombi: Ajira TANESCO zipitie Public Sec. Recruitmnent, wengi wameingia kwa kubebwa

    Tusiilaumu TANESCO jamani....huu mfumo wa kujua upo tena ni CANCER hapa nchini kwetu. Tunashadadia kwa kua humu ndani mpo mlioingia wa memo kutoka juu na mpo mlioingia kwa kudra za mwenyezi MUNGU.
  8. Lil G

    Mfumo wa Rais Unatengeneza Kundi Jipya la Janjajanja na Wala Nchi kwa Mgongo wa Kuisaidia Serikali

    Watakukebehi sana humu kwa ajiri ya huu UZI....ila ulioyasema tutayaona tu. Ukipata nafasi muda mwingine ebu connect dots za huyo jamaa kupewa hicho cheo na kuachwa mjini.
  9. Lil G

    Kwanini Hapi anakaimu nafasi ya Makonda?

    Hichi ndicho nilichokua naelewa kua mkuu wa mkoa flani akiwa nje ya ofisi basi mwenzake wa karibu anakaimu. Hii ya DC nilikua sifahamu.
  10. Lil G

    Kwanini Hapi anakaimu nafasi ya Makonda?

    Wadau samahanini. Kwani mkuu wa mkoa si hua anakaimiwa na mkuu wa mkoa wa karibu yake au nimechanganya hii mambo?? Please msaada hapo.
  11. Lil G

    Kashfa nzito Jeshi la Polisi

    "Wewe unapolalamika unaenda kwao, sisi tunawaita wanakuja tulipo, unajihangaisha" Kama hiyo story ni kweli, basi jeshi la police vyema likajitathimini.
  12. Lil G

    Sakata la kuuawa kwa Faru John lachukua sura mpya. Watumishi watano watiwa mbaroni

    Hili nalo litapita tu...ndio uzuri wa nchi yetu.
  13. Lil G

    Hivi ni nini hufanya nchi kuwa na Intelijensia imara?

    Uimara wa intelijensia katika nchi inategemea mambo mengi ila kwangu naona mambo makubwa mawili. 1. Uzalendo wa hali ya juu. 2. Nguvu ya kiuchumi. Ukiangalia hizo nchi ulizoainisha kua zipo juu kiintelijensia, angalia uzalendo wa watu wake na vyombo vyake vya ulizi na usalama upo juu sana...
Back
Top Bottom