Vijuza kutoka ughaibuni vinawamaliza vijana wa Arusha

Hali ni mbaya mno Arusha mjini.
Ifike mahala sasa hawa vijana wetu tuwakumbushe kuna option B ya Maisha .
Wamekosa uwoga kabisa , kijana wa Rika la 20's unamkuta mnara wa saa pale au maeneo ya shoppers anakomkongoja Ajuza wake wa 70s bila haya usoni.

Hali ni mbaya.
Hahaaa shida yao kubwa ni kununuliwa gari la utalii,huwezi kuta mdada wa kizungu mwenye pesa nyingi labda atoke familia yenye uwezo.
Wamama wazee wanakua na pesa za pension
 
Hali ni mbaya mno Arusha mjini.
Ifike mahala sasa hawa vijana wetu tuwakumbushe kuna option B ya Maisha .
Wamekosa uwoga kabisa , kijana wa Rika la 20's unamkuta mnara wa saa pale au maeneo ya shoppers anakomkongoja Ajuza wake wa 70s bila haya usoni.

Hali ni mbaya.

Wale wazee wanakuja kutafuta Ze dudu hapa Tanzania (Afrika) haswa mikoani kwani wanajuwa kwa Dar watapata makatuni ya bongo fleva wasukao nywele na kuvaa hereni huku wakipaka lipstick na kuvaa suruali zibanazo mapumbu.
 
Vijana wengi wa arusha ndoto zao ni kuwa na watasha sio wanaume sio mabinti tena vibabu.

Mimi na dada zangu wawili mmoja kaolewa na babu wanaishi swedeni mwingine na babu wanaishi bongo kiukweli sipo comfortable na hizo couple kwakweli.
 
Na wewe kaoe kibibi kimoja Norway utoke nao ngoma draw
 
Back
Top Bottom