Mbunge Upendo Peneza(CHADEMA) akamatwa Geita mjini, aachiwa kwa dhamana

Hilo kila mtu analijua. hakuna kisicho na mwisho. ni Mwenyezi Mungu tuu aliyetuumba ndio hana mwisho.

Lakini hii haimaanishi tuwaache wahuni wachache wafanye wanavyotaka , eti tuu kwa sababu kuna mwisho.

UKAWA sasa hivi mmeanza tabia ya kufanya makosa halafu mnaanza kujilizaliza. Lazima muwajibike mnapoharibu. Hakuna atakayewavumilia mkiharibu. Mkumbuke mwenye dhamana ya Dola kwa sasa ni CCM, ifike sehemu muheshimu hilo.

Zizi haliwezi kuwa na mafahali wawili. huo ndio UKWELI japo mchungu.
Tafsiri ya kosa inategemea na mkosoaji
Ukamataji nao umeshakuwa kero ambayo mh Magufuli ana takiwa kuishughurikia kama ni kweli ni mtetezi wa wanyonge.
 
Poleni Watanzania walio wana CCM na walioko UPINZANI!

Hili balaaa linaloikumba nchi yetu baada ya kubugi kwenye Uchaguzi wa Rais 2015 linamhusu kila mtu!

Time will Tell. Tanzania hatuna muda mrefu taifa linaenda kuangamia na kusambaratika vipande vipande!

Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii Taifa limechagua Rais ambaye hakustahili!

Acha wote tuendelee kuisoma namba ili iwe fundisho kwa wote!
Naunga mkono hoja.... Nadhan badala ya hili somo tutakua na adabu kwenye kuchagua.
 
Mh. Upendo Peneza mbunge wa Geita viti maalum, na Diwani wa Kata ya Kasamwa wamekamatwa jioni hii....

Wako kituo cha polisi Geita Mjini...

Sababu bado hazijajulikana. Nitawajuza kitakachojiri

=======
UPDATE:
=======

JamiiForums imefanikiwa kumpata Mhe. Upendo Peneza na amethibitisha kukamatwa na Jeshi la Polisi na amesema anatuhumiwa kutoa maneno ya uchochezi/kashfa.

Mhe. Peneza anadai alisema kuna baa la njaa na Rais ameshasema hatatoa chakula kwa watakaokumbwa na njaa.


Mh. Upendo Peneza mbunge wa Geita viti maalum, na Diwani wa Kata ya Kasamwa wamekamatwa jioni hii....

Wako kituo cha polisi Geita Mjini...

Sababu bado hazijajulikana. Nitawajuza kitakachojiri

=======
UPDATE:
=======

JamiiForums imefanikiwa kumpata Mhe. Upendo Peneza na amethibitisha kukamatwa na Jeshi la Polisi na amesema anatuhumiwa kutoa maneno ya uchochezi/kashfa.

Mhe. Peneza anadai alisema kuna baa la njaa na Rais ameshasema hatatoa chakula kwa watakaokumbwa na njaa.

Aidha, amesema ameambiwa kosa jingine ni kulikashifu Jeshi la Polisi kwa kudai linaonea wananchi.
Policcm ni mazombi tu!! muda utakuja watatafuta mashimo ya kujichimbia ngoja kidogo tu!!
 
Mh. Upendo Peneza mbunge wa Geita viti maalum, na Diwani wa Kata ya Kasamwa wamekamatwa jioni hii....

Wako kituo cha polisi Geita Mjini...

Sababu bado hazijajulikana. Nitawajuza kitakachojiri

=======
UPDATE:
=======

JamiiForums imefanikiwa kumpata Mhe. Upendo Peneza na amethibitisha kukamatwa na Jeshi la Polisi na amesema anatuhumiwa kutoa maneno ya uchochezi/kashfa.

Mhe. Peneza anadai alisema kuna baa la njaa na Rais ameshasema hatatoa chakula kwa watakaokumbwa na njaa.

Aidha, amesema ameambiwa kosa jingine ni kulikashifu Jeshi la Polisi kwa kudai linaonea wananchi.
Mhhhh
 
Jeshi la polisi linapambana kuzuia mauaji kama ya Rwanda, hatuna budi kuliunga mkono. Kutangaza baa la njaa kunaweza kusababisha genocide kama ile ya Ikwibuka!

Watu wanaweza kutumia kauli kama "tuna hamu ya chakula" badala ya "njaa" ambazo hazienezi uchochezi!
 
Mimi nafikiri ifike mahali wote tunyamaze kimya tumuache huyo mwenye hati miliki ya kuongea katika nchi ndiye awe anaongea.
 
Kwa hiyo na wewe umeamini kakamatwa kwa kosa la kupeperusha bendera.? Anyways, binafsi sijui kosa, lakini naamini mpaka anakamatwa kakosea. na sidhani kama kosa ndio hilo unalosema wewe.

Halaf nyie UKAWA, hata mkikosea hamtaki kuguswa. Yaani kuwa UKAWA ni sawa na kuwa Malaika, hukosei, hata ukikosea ukiguswa unatetewa. Hakuna serikali itakayovumilia ujinga wa dizaini hiyo.
Wanatetewa makada wa ccm ndio maana hata gazeti LA Uhuru si miongoni mwa yale yanayofanya uchochezi!
Ukawa tu ndio walioundiwa magereza, mahabusu, virungu pamoja na mabomu.
 
Bwana kiukweli waseme wapinzan tukajisalimishe police station lkn wakumbuke kua once day tutakua watu wenye haki sis [HASHTAG]#peoples[/HASHTAG] power#
 
Watu wanalia njaa, huduma za Maji mbovu, mahospitali hakuna dawa serikali ipo busy kupambana na upinzani,wengine wamefungwa jela wengine wamenyimwa dhamana wengine wanazidi kukamatwa.
Nanyie wapinzani emu iache serikali itoe huduma kwa wananchi wake acheni kuikeep busy na siasa
Kwani wana siasa wame ifata selikali nakuishika mikono? Selikali ndio ilio wafaata wanasiasa utawala mubovu2
 
Hii nchi inatia aibu

Unajua mkuu najiuliza sana, yule mtunza bustani aliyepelekwa Kisutu kwa kusema " ...........anaiendesha nchi kinyume na maumbile" alifikiri nini mpaka kusema vile? Yaweza kuwa yule jamaa ni very genius kuna jambo kaliona sie wengine wote hatujaliona kabisa.
Badala ya kumshtaki ilipaswa wamhoji vizuri atoe tafsiri ya kauli yake.
 
Kamata wote kabisa mtukufu ...ukimaliza njoo kwa wanahabari..mwisho kabisa iwe zamu ya wanainchi....nakuunga mkono kwa maamuzi yako mtukufu
Majipu hata ya kulazimisha yamekwisha. Mnatafuta pa kujitolea aibu. Navyo vitakwisha, 2020 bado mbali. Sera za maigizo hazijawahi kudumu popote duniani. Wananchi wanamwambia mvua hazijanyesha kwao huu msimu wa pili, njaa ishafika, ye hataki, anaahidi kuwajengea uwanja wa ndege Bariadi. Wapi na wapi?
 
Mkuu, tatizo lenu mnasahau kuwa haya mambo yana msingi wa hulka ya kibinadamu. Binadam ana asili ya ubinafsi. Kwa hiyo kuna mambo mengine, ni ndani ya CCM hayawezi toka nje. Hata nyie huko UKAWA mnayo mengi tuu tena ya ajabu ajabu.

Ishu ni pale unapo cross toka upande mmoja kwenda mwingine. hapo lazima ulambwe. kwa hiyo UKAWA kubalini kuwa hamuwezi pata equal treatment. Kumbuka hulka ya mwanadam ipo kabla ya sheria. Ukiyawaza haya kwa wepesi kabisa wala hata hautanunia watu, uta tabasamu tuu, kuyaacha mambo yaende kama yalivyo. usipende sana mivutano isiyo ya lazima hasa ukiwa upande dhaifu.
Semina za huko lumumba zitakufanya uwe kichekesho. Hivi ni lazima utetee hata vituko?
 
anaandika @ulolokwitanga

Kinachonishangaza kuhusu viongozi wa kiafrika ni kuwa wanapenda sana kusifiwa. Wakikosolewa wanasema ni uchochezi. Pamoja na kupenda kwao sifa wameshindwa kujibebea sifa za bure kwa kuondoa njaa, maradhi, umaskini uliokithiri, ubovu wa miundombinu, elimu ya kichokoraa ambapo shule za msingi na sekandari hazina hata matundu ya vyoo kwa ajili ya watoto kunya....
Cha kushangaza anayepinga kukosolewa kama kuna njaa serikali yake imeondoa ruzuku ya mbolea toka bilioni 76 hadi bilioni kumi. Haijanunua chakula cha akiba zaidi ya kutegemea tani elfu 90 alizoacha Kikwete. Jamani sifa inatakiwa uzitafute achaneni na hizi sifa za kijinga za kutaka kusifiwa hakuna njaa wakati wananchi hata mlo mmoja hawaumudu
 
Back
Top Bottom