Amazing! Ugly people, end their claims in barz, walawala mingiiiiiii. Tunapenda saaaaaana kulalamika,nani amfunge paka kengele,watanzania inabidi mbadilike kuweni kama wakenya bwana wakiamua kukataa kitu wanakataaa mazima jo! Na je, wewe umeyaona hayo na unalalamika wakati uko town unakula bata...