Mbatia hivi ulimaliza shule?
Kama shule ilimshinda ndio ataweza siasa? siajabu atashindwa hata kumalizia huo uenyekiti ahamie kwa rostam kutafuta pesainakuhusu nini sasa?kama alimaliza au hakumaliza shule inahusikaje hapa?off point
"RAIS ATENGE MUDA WA SIKU MOJA KUKUTANA NA VIONGOZI WA UPINZANi...."viongozi wenye mtazamo na fikira kama za mbatia ni upuuzi na kupoteza muda mchache alonao raisi wetu msafiri. Mbatia hana sera nilindani akutane na raisi ili wamulize nini utekeleziji wa maazimio ya bunge na kwanini mjadala wa richmond ulifungwa na bunge. Mbatia damu changa nilitegemea awe chachu ya mijadala mizito kwa ustawi wa nchi kumbe yee anataka huruma ya sisiem? Lini amekuwa mshauri wa ccm na nani alimpatia wadhifa KIJANA MZIMA HOVYOO......
ukimsema mtu, umenunuliwa...ukiongea kitu umenunuliwa...hivi kwanini msiangalie mada alizosema instead mnamjadili mwenyewe, kama amemaliza shule hajamaliza swali ni kwamba ana point au hana..KAMA HANA POINT ELEZEA KWANINI HANA, sio mnajiandikia tu kwa kuwa you can,wana JF wengi humu ndani mnatuangusha......
Mbatia hivi ulimaliza shule?
Mwenyekiti huyo wa NCCR ambaye historia inaonyesha kuwa msimamo wake dhidi ya CCM umekuwa ukiibua maswali mengi,....
Pasipo kutoa ushahidi wowote wa wazi wa madai yake.............
Katika majibu yake mwaka jana, spika aliieleza Tanzania Daima kwamba uamuzi wa kupangishiwa nyumba hiyo ulikuwa ni wa Bunge na si wake, na kwamba ulitokana na maelekezo ya Rais Jakaya Kikwete
Tangu Bunge na Sitta watoe majibu hayo ya kumhusisha Kikwete na uamuzi huo wa kupangishiwa nyumba ambayo spika huyo alisema inafanana na hadhi yake, aliyoilinganisha na ya waziri mkuu, hakuna mamlaka yoyote ya dola, ikiwamo Ikulu iliyopata kutoa matamshi ya kuyakana
Kuhusu Richmond, mwaka jana Sitta mwenyewe alipata kulieleza gazeti hili kukumbuka kufanya mawasiliano na Mkurugenzi Mkuu wa Richmond wakati akiwa TIC, na akasisitiza kwamba maombi yao ya kutaka kuwekeza katika mradi mmoja yaligonga mwamba, baada ya serikali kuthibitisha kuwa kampuni hiyo haikuwa na uwezo.
Katika majibu yake ya mwaka jana kuhusu tuhuma hizo pia, Sitta alipata kukaririwa akisema, yeye alikuwa hana mamlaka ya kuchagua aina ya samani anazopaswa kuwekewa na badala yake mwenye wajibu na jukumu hilo kisheria ni Katibu wa Bunge
Mbatia hivi ulimaliza shule?
Vipi Mbowe nae kamaliza Shule? au amefikia wapi? Aliondoka kwa Mbwembe akarudi kimya kimya...program 3 vyuo 3 tofauti...!!!!