Na mama mkwe naye anataka!

hayo ni majaribu makubwa sana. hakika huyo mama ni shetani. Mtangulize mola akunusuru na majaribu hayo.
 
Mpwa una hatari weye, jamaa nilimfikishia ushauri wenu wakulu, ofcoz sikuwataja nilijifanya ni busara zangu hivyo hakumega. Kuna mkulu mmoja alisema ni bora akatafuta njia amueleze mke wake kuwa alitereza akala shemeji yake ili asamehewe.

Huyo zuga tuu lazima kashasafisha .....
 
Msaidieni Jamaa yangu huyu, aliponiomba ushauri nilimwambia anipe mwezi mmoja nifikirie:
Jamaa yangu anaitwa Sam(si jina la kweli) ni kijana mwenye mafanikio kimaisha,anafanya kazi katika kampuni moja ya mafuta hapa Tanzania. Ameoa na ana watoto wawili wemye miaka 5&2. Mwaka jana alikuja kutembelewa na shemeji yake ambaye ni mdogo wa kuzaliwa na mkewe. Binti huyo mwenye umri wa miaka 22 alikuja kupumzika huku akitafuta nafasi ya chuo kikuu dar baada ya kumaliza masomo yake ya kidato cha sita huko nyumbani kwao Tanga. Wakati fulani nyumbani kwao mkewe walipata matatizo yaliyo lazimisha mkewe kurudi nyimbani kwa wiki mbili, kipindi hiki jamaa yangu anasema shetani au ibilisi alitembelea nyumba yake na yeye na shemeji yake wakaanza mahusiano yasiyofaa. Baada ya wiki mbili mkewe alirudi na mama yake wakati huo jamaa yangu na shemejiye uhondo umewanogea. Siku moja usiku jamaa alichomoka chumbani na kukutana na shemeji yake sebuleni wakiwa katika hali mahaba mama mkwe akawaona kwa bahati mbaya hakupiga kelele wala kuwasemesha.Asubuhi yeye na mwanawe mdogo yaani yule shemeji wakaaga huku mkewe akishangaa kwa ughafla wa safari. Mamamkwe hakuthubutu kusema kwa mtoto wake kisa kilicho waondoa. Hata baada ya miezi mitatu yule binti alirudi kusoma chuo UDSM jamaa yangu alimfuata kumuuliza kilichotokea lakini yule binti kagoma hata kumuangalia na hajawahi hata kuisikia sauti yake, kifupi jamaa kabakia gizani. Hivi karibuni mama mkwe alikuja kuwa tembelea na wakati huohuo mama yake mzazi na jamaa yangu akapata maradhi kalazwa nyumbani kwao hukohuko Tanga.Kwa maana hiyo nyumbani amebakia jamaa yangu na watoto pamoja na mama mkwe. Sasa kasheshe mama mkwe anamkomalia jamaa ampe naye vitu na akikataa anamueleza mkewe kilichotokea usiku ule. Jamaa amekwisha tubu mara kadhaa na hataki kabisa kuchezea ndoa yake kwani anampenda mkewe sana. Ila mama mkwe yupo determined kabisa na mara kadhaa amekwisha mfuata bafuni uchi...Ushauri please!!!!
Mkuu, hiyo noma sana, ukiweza jirushe tu kama inalika sio haramu.
 
kama jamaa anaipenda ndoa yake amwondoe mama mkwe hapo kwake. pia aungame hiyo dhambi kwa mkewe na aitubu, hapo ndiyo atapata ujasili wa kumkana huyo mama.lakini kujifanya unapenda ndoa kwa maneno haisaidiii, asipoangalia atakosa huyo mke na familia yote ikayumba, huyo mkwe ni hatari
 
hATA PATA CHOCHOTE ZAIDI ATAJIDHALILISHA, JIMAMA ZEE, LENYE MAKUNYANZI KUANZIA MAPAJANI MPAKA KTK MAKALIO LIAKUSAIDIA NINI? MMMMH LAKINI WAHENGA WALISEMA NGOME HAZEEEKI MAINI!
 
.. Jamaa yako ana Laana....!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Usije kushangaa akiwarudi na watoto wake.
 
Jamaa nanonyesha anataka,kama aliweza kumla mdogo mtu kwa nini anafeel guilty kumla mama mtu?
 
Amweleze mkewe kilichotokea siku mamamkwe alipowakuta Atumie hekima sana katika jambo hili vinginevyo mama mkwe ataendelea kumtesa. Hasa kama ana Mvuto!!!
 
Mi nadhani hoyo Mama mkwe hilo pepo limtoke.Halafu jamaa naona haonyeshe msimamo asijirahisi.Pia ni wakati wake kutubu kiukweli kama anahitaji kulilinda penzi lake kwa mkewe
 
jamaa amtimue mama mkwe ili asiharibu zaidi no way

kama anampenda mkewe awe tayari kukabiliana na hili linalokuja
mama mkwe atatoboa siri
wanaume lol kila kitu mnataka
 
Fukuza wote mama mkwe na shemejio, maana wanaonekana ma opportunist wenye tabia za kishenzi hawawezi hata kujiheshimu, what kind of a parent is that?
 
Kwa kweli hawa viumbe wa kiume wanafanya mengi, can you imagine huyo mkewe yuko gizani hajui nini kinaendelea maskini. Halafu hizi tabia za kina mama kushindwa kukuaa makwao kucha kwa watoto wao walio olewa ni mbaya sana. Ndo chanzo cha matatizo yasioleweka haya, hata mashemeji sijui, dada yenu akiolewa mpeni nafasi akae na mumewe wajenge familia, kama vishawishi vitokee pengine siyo ndani ya familia jamani.
 
Labda ni dawa aliyoitaka siku nyingi kwa ugonjwa wake? Mpe huenda akapona. Kama kosa lilifanyika kwa shemeji sio kwamba ukoo mzima uwashibishe wewe tu. Lakini kama wanaona wewe ni mwarubaini kwa matatizo yao wape wanywe, lakini mmiliki wa mwarubaini huo ni mkeo ambaye lazima aheshimike kwanza. Heshima haijakaa katikati ya miguu.

Leka
 
piga mama mkwe bwana acha uwoga.toka umetuuliza hapa jamvini tukajua tayari kumbe bado unakuna nazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom